haki unayo, lakini kumbuka wengine wamejinyima na kuwekeza kwenye nyumba; mpangaji ujue kabisa hiyo ni biashara ya mtu na wateja ni wengi balaa. by the way mimi napendelea frem za biashara kuliko vyumba vya kupanga. mana kwenye mafrem kila mwaka naweza pandisha kodi mana demand is high.