Ipo imejaa tele hapa: HaKiElimu - Welcome to HakiElimu
Haki-Elimu kwa ujumla tunaweza sema imepoteza muelekeo na haisikiki kama awali, nashaurika kuamini kuwa ilikuwa NGI na si NGO kwa kutazama muelekeo wake baada ya Rakesh kuondoka. Tulizoea kuona ikibainisha changamoto za ki-elimu, rais na haki kwa ujumla. Sasa naona watu walikuwa katika harakati hizo ikiwa ni pamoja na Generali Ulimwengu kuendelea kueleza changamoto kupitia gazeti la Raia Mwema kwa kutazama michango yake katika sector ya Elimu.
Huku kupotea kwa Haki-Elimu kunatupa maswali mengine zaidi, mfano; Je, serikali imefanikiwa kuizima kwa njia mbadala baada ya zile za awali kushindwa? Je, mkurugenzi na management iliyopo imepoteza muelekeo au haina uweze wa kuamsha tena hisia za watu katika kutambua uwezo wa kiutendaji wa serikali? na maswali mengine lukuki.
Hanging out some "controversial" stuff to get cheap popularity while there is no succession plan, and/or dish out sometimes wrong information and/or trying to portray that you are for the people etc etc and then coming out with no solution whatsoever will lead to the rise and fall of any organization, HakiElimu included.
They introduced Kanumba, supposedly introduced some misguided portrayals of the hali halisi za shule zetu (kweli zingine zina hali mbaya sana), Rajani and the organization became the toast of the town but at the end the adverts came out as blaming the government over and over - what are you offering in terms of a suitable workable solution? If its none then HakiElimu's demise is there to see.
What have you done for your country lately?
Rakesh started HakiElimu and has left it for others to carry on! The good work HakiElimu earned it a lot of donor funds and it still receiving them. It is not bankrupt!
Rakesh is now on Twaweza, a ten years initiative that seeks to enable people of Tanzania, Kenya and Uganda to improve their quality of life through bold, citizen-centred approach to development and public accountability.....link Information on Twaweza / Home - Hivos Online, Humanistisch Instituut voor Ontwikkelingssamenwerking
As you can see, Rakesh has moved to another bigger role in social responsibility. People of Rakesh's kind need our support and not discouragement.
Ipo imejaa tele hapa: HaKiElimu - Welcome to HakiElimu
S...nikupe mifano nenda TGNP, HAKIARDHI, LHRC, WLAC, LEAT etc...........
Rakesh is now on Twaweza, a ten years initiative that seeks to enable people of Tanzania, Kenya and Uganda to improve their quality of life through bold, citizen-centred approach to development and public accountability.....link Information on Twaweza / Home - Hivos Online, Humanistisch Instituut voor Ontwikkelingssamenwerking
.
Ain't nobody discouraging anyone, and nobody said they bankrupt either. He seems to have moved on to bigger things (good for him) but what has he left behind?
Hopefully there he will refrain from deploying cheap tricks to get his initiative rolling. That cheap popularity game gets nobody anywhere - ask A. Lyatonga Mrema
Wanajaribu kufanya kazi nzuri kukuza elimu lakini tungeanza na HakiElimu wenyewe. Ujumbe ulio mbele ya tovuti katika link hiyo unaonyesha Rajani amewaacha hali yao mahamumu.
Wanajieleza, "HakiElimu works to realize equity, quality, human rights and democracy in education." Lakini chapa lao linalopanda tovuti linasema "People Making Difference in Education and Democracy."
Kwa ujumbe wa chapa yake, taasisi imejinadi kama ni chombo cha kujihusisha na harakati za kukuza demokrasia na elimu, kitu kinachotofautiana na kile wanachokisema katika sentensi ya kwanza wanapo tambulisha malengo yao wakisema "...kutafuta kukua kwa demokrasia katika elimu." Big difference. Wanaweza wakakosa support ya watu ambao wanataka kukaa mbali na mambo yanayofanana na siasa kumbe lengo la taasisi ni kusaidia watoto wa shule, na sio siasa za demokrasia. Big difference.
Wakachemka zaidi. Kinachofuata baada ya hapo kinasema "HakiElimu's Vision is that every person in Tanzania is able to enjoy his or her right to basic quality education in schools that respect a person's dignity..." Ni nini hapo wanachosema wanataka ki respect a person's dignity? Ni right, ni education, ama ni schools? Kama ni right ama ni education ilibidi waseme "respects." Kama ni schools wanahitaji mpangilio mpya wa sentensi.
Huwezi ukajiita taasisi ya elimu halafu usitilie maanani, uvuruge, mpangilio wa sentensi na sarufi.
Huwezi ukachemsha hata kuandika propaganda ya mission statement! Mpaka kwenye kauli mbiu ya taasisi?!
Kauli mbiu inasema "People making difference..."! Making difference?
Wadau nauliza mwenye ufahamu wa hali halisi ya HakiElimu maana imekuwa ghafla mno kutoweka ktk masikio ya watanzania... Au vita ya mafisadi imewakimbiza pia? Nimepata data kwamba mkurugenzi mwanzilishi wa HakiElimu sasa yupo ktk shirika jipya liitwalo TWAWEZA. Je ina maana HakiElimu ilikuwa inategemea uwepo wa Rakesh Rajani au staff wake? 😕
Mwenye data amwage hapa
NB: Kuna MGO naifahamu inayoendelea kufanya kazi (si maarufu) ila imekuwa chachu kubwa sana ktk maendeleo ya usomaji na vitabu, sierikali haijawahi kuipongeza walau kuonesha nia ya kuwakubali au kuwashirikisha ktk mipango ya kuinua sekta ya usomaji nchini pamoja na kuboresha uchapishaji wa vitabu bora vya elimu na ziada hapa nchini click hapa http://www.cbp.or.tz... Hili dubwasha serikali sielewi ibebwe vipi?
Kaazi kweli kweli
Kuhusu hiyo cbp.or.tz, be carerful; I'm getting this warning:
Reported Attack Site!
This web site at cbp.or.tz has been reported as an attack site and has been blocked based on your security preferences.
Attack sites try to install programs that steal private information, use your computer to attack others, or damage your system.
Some attack sites intentionally distribute harmful software, but many are compromised without the knowledge or permission of their owners.
This is from GOOGLE,
"This site may harm your computer."