Friends naomba msaada . Nimechaguliwa pale OUT university. Lakin mpka sasa wanaleta chenga nying kufanya usajili mara. njoo kesho mara majina yamepelekwa NACTE.
Kwa yeyote mwenye taarifa za kuanza usajili anijuze tafadhali
We nyata maelezo nusu nusu hayafai. Umechaguliwa kufanywa nini. Na unachengwa kitu gani. Nenda ofisi ya utawala toa shida yako na kama ni kazi wameandika maelezo yote yafuate maana kila kitu na mipangilio yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.