martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
- Thread starter
- #41
Usitukane mtoto mzuri, kosa sio laoKmmk zao yani walinikera mno wakt mchezo mzima nilimpelek puta Kaz kuanguka anguka kmmmk zao na hawatafika mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitukane mtoto mzuri, kosa sio laoKmmk zao yani walinikera mno wakt mchezo mzima nilimpelek puta Kaz kuanguka anguka kmmmk zao na hawatafika mbali
Ila Yanga mdomo unewaponza halafu walikuwa wanamdharau sana mpinzani waoKiasi kikubwa cha pesa! Lakini hakuna la maana wanalofanya
Hawakua na malengo yoyote zile ni juhudi thabiti za mwamuzi. Uwezi kuwa na Malengo mipira inachezwa kwenye 18 yard Yako.Nakubali mdau
Zile dakika kumi za mwisho jamaa walishambulia balaa mpaka kupata bao la offside pale ndio nikagundua jamaa walikua wanacheza kwa malengo
Hamna timu paleIla Yanga mdomo unewaponza halafu walikuwa wanamdharau sana mpinzani wao
Hata mngepewa dkk 120 hakuna ambcho mngefanya..nyie ni fungu la kukosa huko njeMimi Sina Cha kuwadai wachezaji wa Yanga, wamecheza Kwa uwezo wao ila refa amefanya kazi kubwa sana kuharibu mechi, nashukuru wachezaji walikua watulivu licha ya vituko vingi na mpira kuchezeshwa Kwa dk70 tu.
Maana Kila baada ya dk 4 mchezaji wa Al Hilal ana anguka, mpaka akitolewa akatibiwe amesha kula dk 2-3 na refa hachukui hatua.
Mlipewa dk 93 hapa nyumban vp mlizitumia vizur?Hawakua na malengo yoyote zile ni juhudi thabiti za mwamuzi. Uwezi kuwa na Malengo mipira inachezwa kwenye 18 yard Yako.
Yanga ni wa hapahapa. Wacha tu tuendelee kuwabamiza tunaowaweza.Hpn mkuu bujibuji nakupinga leo Ni hati hati tu na kuto kuwa makini na game za kwanza
Wakati TBC inaitwa TVTYanga ni wa hapahapa. Wacha tu tuendelee kuwabamiza tunaowaweza.
Sorry kwa swali la kijinga, hivi mara ya mwisho Yanga kushinda International match ilikuwa ni lini tukiachana hao Wasubi waliokuja juzi?