Hakika aliyeiroga Yanga ana la kujibu kwa Mungu

Nakubali mdau

Zile dakika kumi za mwisho jamaa walishambulia balaa mpaka kupata bao la offside pale ndio nikagundua jamaa walikua wanacheza kwa malengo
Hawakua na malengo yoyote zile ni juhudi thabiti za mwamuzi. Uwezi kuwa na Malengo mipira inachezwa kwenye 18 yard Yako.
 
Hata mngepewa dkk 120 hakuna ambcho mngefanya..nyie ni fungu la kukosa huko nje
 
Hawakua na malengo yoyote zile ni juhudi thabiti za mwamuzi. Uwezi kuwa na Malengo mipira inachezwa kwenye 18 yard Yako.
Mlipewa dk 93 hapa nyumban vp mlizitumia vizur?

Haya n mashindano lazma ucheze kwa mbinu na si kubuni mbwinu Kama mnavyofanya TPL kurubun marefa na wachezaji

Dk 70 hizohzo wenzenu wametumia vzur wanasonga mbele

Uwekezaj wa yanga n wa mdomoni na ndyo maana wamefanikiwa kuwabrain wash nyie mashabik kuiamin timu yenu wakat ukwel wanaujua wao

Simba ikifungwa utaona nyuz za mashabik nguli wakiikosoa timu yao bila woga lakn yanga ikifungwa mashabik Kama wewe mnakuja kuitetea timu hahaha hapo ndio muone tofauti ya timu hiz mbili


Mnacheza na mbuni fc ili mkapambane na Al hilal naona majibu mmeyapata

Natabir hata shirikisho yanga ataishia makundi tu Tena akifunga mkia katika kundi lake

Mpira n uwekezaj wa uwanjan na s kwenye media ukiwekeza uwanjan media zitakufata zenyewe sababu nyie ndiyo mtakuwa habar na Sasa yanga inazifuata media ili iandikwe vzuri

Media znaifuata Simba kupata habari tofaut kwa yanga yanga inazifuata media ili waandikwe vzuri



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hpn mkuu bujibuji nakupinga leo Ni hati hati tu na kuto kuwa makini na game za kwanza
Yanga ni wa hapahapa. Wacha tu tuendelee kuwabamiza tunaowaweza.

Sorry kwa swali la kijinga, hivi mara ya mwisho Yanga kushinda International match ilikuwa ni lini tukiachana hao Wasubi waliokuja juzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…