Hakika anajua kuwapa moyo fake wasanii wachanga

Hakika anajua kuwapa moyo fake wasanii wachanga

fantastic philip

Senior Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
195
Reaction score
688
IMG_7523.jpg

Hawavumi lakini wamo

Kwanza video ambazo unakuta msanii anamsifia quality ndogo lakni utasikia kula chuma icho
 
Jamaa hakuna nyimbo aliyowahi sema ni mbaya yeye kila Siku na kila msanii anayekuja utasikia "Hii nyimbo ni Kali sana" mpaka wasanii wanajishtukia
Yupo sahihi , ni kama daktari tuu , unajua kabisa huyu mgonjwa hatoboi huu mwezi, Ila full kuwapa ndugu matumaini , alaf sku amekata Moto , huonekani unapotea unamwachia nesi msala 😁😁😁😁😁
 
Hivi nchi hii hakuna wenye kampuni kama bss kutafuta vipaji? Wale bss ni wapuuzi, wanakatisha tamaa wasanii wachanga badala ya kuwatia moyo
 
Back
Top Bottom