Hakika anajua kuwapa moyo fake wasanii wachanga

Jamaa hakuna nyimbo aliyowahi sema ni mbaya yeye kila Siku na kila msanii anayekuja utasikia "Hii nyimbo ni Kali sana" mpaka wasanii wanajishtukia
Yupo sahihi , ni kama daktari tuu , unajua kabisa huyu mgonjwa hatoboi huu mwezi, Ila full kuwapa ndugu matumaini , alaf sku amekata Moto , huonekani unapotea unamwachia nesi msala 😁😁😁😁😁
 
Hivi nchi hii hakuna wenye kampuni kama bss kutafuta vipaji? Wale bss ni wapuuzi, wanakatisha tamaa wasanii wachanga badala ya kuwatia moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…