Hakika CHADEMA tumepitia mateso makuu mpaka sasa

Kwa kweli yule Mfu alitakiwa afe na amekufa kweli....
Mwache andelee kuoza tu, maana alikuwa anaipeleka nchi, kuzimu kumbe ndio makazi yake....
 
Mojawapo ya matukio yaliyo sikitisha ni jinsi mh Lema alivyofanyiwa ukatili akiwa kwenye kikao halali cha chama cha ndani.
Kulia lia mtandaoni hakutakusaidia
Unamlilia Lema,mwenzio yupo ughaibuni na familia yake wanakula bata,wewe mishipa ya shingo imekutoka
 
Kama jiwe lilipukutika likaiwacha cdm inazidi kuitoa ccm mafua hakuna cha kuifuta cdm.

Utazidi kuramba viatu hadi unachukuliwa na corona lkn cdm utaiwacha inazidi kushine.
Hiki Chama cha magaidi hangaya atakifyekelea mbali. Sasa mnapumulia mashine, mmekabwa kila kona.
 
Baadhi ya viongozi wenye maamuzi wanadhani hii nchi ni mali ya ccm.

Hii nchi ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo maana wakati wa kulipa kodi tunalipa wote bila kujali itikadi.

Mojawapo ya matukio yaliyo sikitisha ni jinsi mh Lema alivyofanyiwa ukatili akiwa kwenye kikao halali cha chama cha ndani.

Hii ni jambo ambalo linazifanya siasa za upinzani nchini kwetu kuwa ngumu zaidi.

Hongereni sana wana cdm ambao hadi sasa tupo bado na imani na cdm pamoja na mateso yote haya.View attachment 2038791
Wewe una mateso gani muda huu unatafuna mihogo ya kukaanga wacha kuwachora wanaoteseka huko trigay na ukonga!
 
Baadhi ya viongozi wenye maamuzi wanadhani hii nchi ni mali ya ccm.

Hii nchi ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo maana wakati wa kulipa kodi tunalipa wote bila kujali itikadi.

Mojawapo ya matukio yaliyo sikitisha ni jinsi mh Lema alivyofanyiwa ukatili akiwa kwenye kikao halali cha chama cha ndani.

Hii ni jambo ambalo linazifanya siasa za upinzani nchini kwetu kuwa ngumu zaidi.

Hongereni sana wana cdm ambao hadi sasa tupo bado na imani na cdm pamoja na mateso yote haya.View attachment 2038791
Hata mimi nawapongeza sn maanake huu utawala katili kweli kweli
 
Back
Top Bottom