Uchaguzi 2020 Hakika Dkt. Magufuli haamini macho yake. Alifikiri A, imekuwa B!

Uvumilivu gani huo, wakati Kuna upande flani wa watu wanaoneemeka na kula mema ya nchi.
 
Magufuli ameturudisha nyuma sana kwa kuvunja Sheria
Miradi mingi haijafuata utaratibu
Ila imefanyika vzr kwa manufaa ya wote.!
Unanunua ndege kwa cash bila utaratibu wakati mazao ya wakulima unakopa hii imekaaje
 
Kila kitu amefeli. Wewe kama unaona sehemu kafaulu tuoneshe
Katununulia ndege, katujengea barabara za juu ,kalipa walimu wakuu posho ya madaraka shs 200,000/=kila mwezi na waratibu elimu kata shs 250,000/= kila mwezi na wakuu wa shule za sekondari shs 250,000/= ila walimu wa kawaida wanategemea mishahara ya mwisho wa mwezi.
 
Hii ni propaganda murua sana; naifananisha na ile ya Stalin na Hitler enzi za Vita Kuu za Dunia! Hongereni kwa uongo msafi! HASHINDI MPINZANI HAPA. Wengine wesha anza kuikimbia nchi hata kabla mambo hayajawa mambo! Poleni sana.
 
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
😀😀😀😀😀😀 Keyboard zingekuwa zinapiga Kura Lissu angeshinda, lakini nimepita mikoa ya Kilimanjaro, DSM, Mbeya- Nyumbani kwetu, Arusha, Singida JPM anakubalika kwelikweli, Wengi ukiwauliza wanasema wamechoka siasa za kisaniiii kwamba wamempata anayeongea kwa kufanya hawataki Kumpoteza.
 
Wanaomrekodi kila siku, kila kitu na kuweka hewani wanawangusha. Watu wanatabia ya kumchoka mtu wanaemsikia kila siki na neno lilelile.. tena wanasema wengine je, mbona hawatuonyeshi.
Niliona mtu tena mkereketwa akasema "tumechoka badilisha chaneli"

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli hata kumuita Dr. ni kushusha hadhi ya u Dr.

Yule gubegube tu kashazoea kuchunga ng'ombe anafikiri kila mtu ng'ombe.
 
CCM kilimpa Magufuli ridhaa wakikomoana wenyewe kwa wenyewe 2015, Magufuli mwenyewe anadai yeye sio mwanasiasa taaluma yake ni mkandarasi, alichoenda kufanya kinaendana na taaluma yake hivyo CCM walifanya makosa makubwa sana kumkabishi magu ridhaa ya kusimama kama rais maana anachofanya hakipo kwenye ilani ya CCM 2015-2020.
 
Mbona mnaangaika kwa vitu ambavyo havipo?
Mnajitekenya na kucheka wenyewe!!
 
Ndege zinajiendesha kwa hasara na zingine zimepaki, pia nitajie route ya kimataifa ya ndege zetu, hii ni failure

Barabara za juu ni msaada( grant) kutoka watu Wakorea na alisaini JK tayari flyover 6 hapa Dsm hakuna alichofaulu yeye

Walimu hawajapandishiwa madaraja na mishahara yao kama sheria inavyotaka hii ni failure.

Sema lingine
 
Duuuh kweli watu na unafiki wenu
 
Ndo hivyo tu mkuu wangu. Tuombe Mungu.
 
Huo ni mtazamo wako bwashee.... Lakini kule field Dr Magufuli na CCM wanakubalika sana.

Naibariki siku ya uchaguzi 28/10/2020
Umefelii sanaaa!!
Wekeni mazingira huru ya kupiga kura muone!!
Jeshi, polisi, tiss, magereza, wakurugenzi, madas,maRas, ma Rc, maDC wote CCM,, bado tume yote makada wa CCM, afu bado mnaengua wagombea huu Ni upuuzi Sana kujisifu et tunakubalika
 
Huo ni mtazamo wako bwashee.... Lakini kule field Dr Magufuli na CCM wanakubalika sana.

Naibariki siku ya uchaguzi 28/10/2020
Huko field ni wapi labda burigi kule msituni Kwa wanyama maana hata chato hawamtaki.
 
Kuna barua inaandaliwa kutoka kwa Robert Amsterdam kwenda tume ya uchaguzi, hiyo Ndo itakata matumaini kabisa,

ile walitegemea ku- rig election haitakuwepo.

Au ile ya kutotatangaza mshindi mwaka huu haitakuwapo

Inasemwa kuwa palepale NEC masijala ikija barua yenye muonekano wa kutoka ng'ambo basi yaingia moja kwa moja kwenye "shredder"

Hawataki kufungua maana yaweza kuwa imebeba hujuma.🙂😉
 
Ikitokea anakuwa tena rahisi alicho kifanya miaka 5 iliyopita hatothubutu kurudia makosa maana anajua atakuwa ameuwa mazima nguvu ya chama chake, hato thubutu tena kuwazuia wapinzani, amejifunza washauri wake wa maswala ya siasa walimpotosha
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…