Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Ipo Siku Wote hapa mtakuwa Team GENTAMYCINE Mkuu. Je, umejiandaaje Kuambiwa kuwa Wewe na hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe baada ya Kunisifia huku / hivi?Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
Na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akanibariki na hii Shani ( Tunu ) ya kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
Mm ni fundi ujenzi mbobezi. na wengi hapa nimewajengea wananijua kwa sura na tabia. Nipo hapa kitambo. Na ninanyuzi nyingi za ujenzi. Itoshe kusema hivyo. Mm ni yanga damu damu. Leo wamenitoa machoziIpo Siku Wote hapa mtakuwa Team GENTAMYCINE Mkuu. Je, umejiandaaje Kuambiwa kuwa Wewe na hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe baada ya Kunisifia huku / hivi?
😳😳😳Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
Nafuatilia Sana mabandiko yake. Uchaguzi wa Simba umetuponza leoKafanyaje kwani?
Niondoe mimi.Ipo Siku Wote hapa mtakuwa Team GENTAMYCINE Mkuu. Je, umejiandaaje Kuambiwa kuwa Wewe na hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe baada ya Kunisifia huku / hivi?
Kivipi uchaguzi wa Simba uiponze Yanga?Nafuatilia Sana mabandiko yake. Uchaguzi wa Simba umetuponza leo
Ujaviiimba...mtani faller sana wewe🤣Ipo Siku Wote hapa mtakuwa Team GENTAMYCINE Mkuu. Je, umejiandaaje Kuambiwa kuwa Wewe na hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe baada ya Kunisifia huku / hivi?
Leo wachezaji wa yanga hawajatutendea hakiUjaviiimba...mtani faller sana wewe🤣
Alisema Mayele ni “wa moto”, hivyo atapiga goli tisa leo na kupata “hat trick” tatu. Na anayo misukule ya kutosha!😄Kafanyaje kwani?
Uko sahihi 99% na kuna Uzi Mmoja Muhimu wa Umafia uliotokea Mbeya leo hadi Yanga SC yako mkafungwa na nitaku tag mwishoni ili Uusome Mkuu.Nafuatilia Sana mabandiko yake. Uchaguzi wa Simba umetuponza leo
Mpumbavu kama Wewe huwezi kuwa Team GENTAMYCINE sawa?Niondoe mimi.
Au Oscar Oscar maana watu wa unbeaten ni vitukoIpo Siku Wote hapa mtakuwa Team GENTAMYCINE Mkuu. Je, umejiandaaje Kuambiwa kuwa Wewe na hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe baada ya Kunisifia huku / hivi?