GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
KAULI YA MKUU WA MATAWI YANGA SC MKOA WA DAR ES SALAAM.....
'Kwa tulichofanyiwa na Azam FC juu ya Mchezaji Fei Toto ni Uhuni usiovumilika hivyo nitawahimiza wana Yanga SC wote nchini Kususia kununua Bidhaa zozote zile za Azam"
KAULI YA YANGA SC KATIKA USAJILI WA DIRISHA HILI DOGO LILILOPO.....
"Klabu ya Yanga imepeleka Maombi katika Klabu ya Azam ikitaka Kuwasajili Wachezaji Wao Wawili James Akaminko na Kipre Junior ili Kukiimarisha Kikosi chake"
Halafu wana Yanga SC mkiambiwa hamna akili (Hamnazo) hamtaki na mnanuna.
Hivi inaingia akilini kweli watu ambao mmeshaazimia na Kukubaliana msusie kununua bidhaa zao zozote zile ili Kuwakomoa halafu hapo hapo tena mnataka wawapeni (wawauzieni) wachezaji wao hawa tegemezi wawili?
Jaribuni kupunguza kuvuta mibange.