Hakika hakuna mpishi bora ka Mwanaume!

Kajuni

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Posts
483
Reaction score
186
Wahenga walisema mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni... To date mwanaume bado anasimama kifua mbele kuwa mpishi mzuri duniani na hakuna wa kumlinganisha. Just imagine kwa soseji moja, mayai mawili na Table spoon ya protein moja basi mwanamke akila anashiba MIEZI tisa! jamani au kuna anayepinga hili?
 
mmmmhh kwenye ile sahani kuna
mboga na ugali .....

kama hujaelewa ni PM
 
Kujisemea....Dena Amsi.....Watoto show....
 
Kwataarifa mapishi hayo wakila wanaume wanakuwa vilema mwendo unabadrika,sauti inakuwa nyorrrrrrooorro!!ogopa ule mchuzi wa ke!!
 
mmmh.....jamani kwani lazima thread!!!
 
Unaweza ukaonja hayo mapishi yako? Kama huwezi basi siyo mapishi ni matapishi hayo!!!.
 


Dah Kajuni... Umewaza nini ???
 
Mie napita tu Mkuu. Sema kweli ijapo kuwa inauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…