Kajuni
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 483
- 186
Wahenga walisema mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni... To date mwanaume bado anasimama kifua mbele kuwa mpishi mzuri duniani na hakuna wa kumlinganisha. Just imagine kwa soseji moja, mayai mawili na Table spoon ya protein moja basi mwanamke akila anashiba MIEZI tisa! jamani au kuna anayepinga hili?