Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

Hakika Hayati Magufuli Nchi Aliiweza

Tunahitaji watu aina ya Magufuli kwa miaka 100 japo watanzania akili zitukae sawa.

Kuna Mtu yuko Mahali yeye Kaamua kukaa Kimya anategemea mambo yatafanyika automatic.
View attachment 2744083
Aliweza kivipi muoga mkubwa yule? Aliogopa mikutano ya vyama vya siasa, aliogopa vyombo vya habari na aliliogopa bunge.

Acheni kumuuta shujaa mtu mwoga na mwongo kupindukia.
 
Alikuwa hafuati Katiba wala sheria ni kutukana tukana tu ni kutembea na mabulungutu ya hela zetu za kodi yeye alikuwa anasema ni zake.

Alikuwa nyuma ya matukio ya kuua na kuteka Wapinzani rejea shambulio la kutaka kumuua Tundu Lissu, na utekaji wa Mdude Nyagali kupotezwa kwa Ben Saanane.
Maendeleo hayanaga demokrasia dogo! Ili uendelee lazima kuwepo u'dictator'! Inahitajika uanamume hasa! Ukileta umamama hutoboi!
 
Ungekula hiyo treni?? Bora Mungu alivyompumzisha sasa tumepumua, hakuna kuuana, kutekana, kufilisiana, kuporana na kupigana risasi
Kama kuua, kaua wachache mno! Ningekuwa mimi, nadhani ningeua wengi! Wapo wengi sana wanaotuchelewesha ambao kwa hakika wanapaswa wapumzishwe tu hakuna jinsi! Kwa ustawi wa nchi hakuna jinsi wanapaswa wapumzishwe!

Ungejua umuhimu wa usafirishaji katika uchumi, usingeongea kuhusu train!
 
Kama kuua, kaua wachache mno! Ningekuwa mimi, nadhani ningeua wengi! Wapo wengi sana wanaotuchelewesha ambao kwa hakika wanapaswa wapumzishwe tu hakuna hinsi! Kwa ustawi wa nchi hakuna jinsi wanapaswa wapumzishwe!

Ungejua umuhimu wa usafirishaji katika uchumi, usingeongea kuhusu train!
Umekariri uliomezeshwa na mwalimu wako mlevi wa gongo kutoka chuo cha kata yako kilichowekwa ili kukupumbaza na wewe unajiona ni msomi.

Dunia inahamia kwenye usafirishaji kwa kutumia drones wewe unaongelea treni??
 
Maendeleo hayanaga demokrasia dogo! Ili uendelee lazima kuwepo u'dictator'! Inahitajika uanamume hasa! Ukileta umamama hutoboi!
Mobutu Sese sekko,Iddi Amini Dada Jean Bedel Bokassa nk. nk.

Dikteta haleti maendeleo ndugu atakudanganya na vidaraja na Airport misituni.
 
Jeshi la mtu mmoja kama milioni sitini! Kama asingepumzika, hakika Tanzania ingekuwa kama Ulaya! Bila shaka train la umeme lingekuwa safarini saa hizi! Mungu alituonea sana kwa kutuondolea huyu mwamba!
Hpana Mungu ajatuonea.alitupa zawadi tuka shindwa kuitumia.Hakika tutamkumbuka Mjomba Magu ,,
Rest In Peace Magufuli.
 
Alikuwa ni RAIS bora kuwahi kutokea Tanzania hilo kila MTANZANIA anakiri hata kimoyomoyo.

Anakumbukwa na atakumbukwa daima.
 
Alikuwa hafuati Katiba wala sheria ni kutukana tukana tu ni kutembea na mabulungutu ya hela zetu za kodi yeye alikuwa anasema ni zake.

Alikuwa nyuma ya matukio ya kuua na kuteka Wapinzani rejea shambulio la kutaka kumuua Tundu Lissu, na utekaji wa Mdude Nyagali kupotezwa kwa Ben Saanane na wengine wengi.
Tatizo nyinyi wenzetu wa upande ule mmezoea kubembelezwa kama mashoga!!

Kwenu huko kila kitu lazima kiwe laini; chapati laini tende laini, mishikaki laini mhogo laini n.k.

Ndo akili yote mmewekeza kwenye kusaidiwa saidiwa tu!!
 
Wanadeka kama watoto wadogo
 
Back
Top Bottom