Hakika Hii Ndio Ligi Kuu Ya Tanzania Bara

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Uendeshaji wa Soka hapa kwetu ni wa kupigiwa mfano. Sasa hivi Ligi inaelekea ukingoni lakini mpaka sasa Simba na Namungo hawajacheza hata mechi moja baina yao.

Toka Ligi Ianze Mo Fc (Simba) hawajakutana Kabisa kwa Maana ya Mzunguko Wa Kwanza Au Wa Pili [emoji1][emoji1]
 
Point za mzunguko wa kwanza wapewe tu Namungo, Simba hana uhitaji nazo.
Hapa kinachozungumziwa ni fairness. This is unprecedented na anayeona ni sawa ana haki ya kuona hivyo.
 
Mkuu hii haijawahi kutokea, pitia kumbukumbu na fanya utafiti. Hata huko duniani. Hii ni rekodi ya heshima kwetu kama nchi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tatizo team za bongo zinadeka mno, tujiulize ulaya wanameneji vipi kucheza ligi zote na kuisha kwa wakati, Tuige England , ambao Wana makombe mengi tunaweza kujifunza kitu , mana wabongo wanavichwa vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikria toka Ligi Ianze Simba na Namungo Hawajacheza Mechi Hata Moja Ya Ligi Kuu
 
Sasa we hapa hoja yako Ni ipi....hufahamu kwamba hao wote wawilii ratiba zao za epl ziliingiliwa na mechi zao za Caf....

Yanga akili zenu sjui huwa mnaziachaga mapori gani
Chelsea na man cty wote wapo uefa..vipi hawajakutana round zote mbili?

Hivi hamjiulizi wale wenzetu wanapanga vipi ratiba??

Epl
Uefa
Fa
Carabao
International break

Na game Zinaenda fresh tu
 
Kwahiyo Yanga hamko tayari kucheza na Simba hadi wacheze kwanza na Namungo?.

Mnasahau kuwa walikuwa wanamajukumu makubwa ya kuitafutia nchi points zitakazoisaidia nchi kupata wawakilishi wanne kwenye michuano ya vilabu Afrika?
 
Tatizo team za bongo zinadeka mno, tujiulize ulaya wanameneji vipi kucheza ligi zote na kuisha kwa wakati, Tuige England , ambao Wana makombe mengi tunaweza kujifunza kitu , mana wabongo wanavichwa vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi fananisha logistic ya ulaya ambayo timu inatoka uingeleza hadi france baada ya mechi wanarudi kulala uingeleza, na Africa ambayo hakuna jinsi ya kwenda egypt bila kulala dubai au kwenda kenshasa kongo bila kupitia ethiopia. Kuna muda mkiwa mnafananisha mambo ya africa na ulaya sijui huwa mnatumia akili gani sojui. Kwa africa kuna nchi ambazo route ya ndege ni mala moja au mbili kwa wiki. Yaani kama una mechi angola jmos na flyt ya kwenda huko ni j4 inabidi ufuate ratiba ya flyt. Sijajua kwa nini haya yameibuka sasa hivi. Kwa kifupi huku kileleni hatusikii baridi kabisa maana tumeshalizoea .
 
Sasa we hapa hoja yako Ni ipi....hufahamu kwamba hao wote wawilii ratiba zao za epl ziliingiliwa na mechi zao za Caf....

Yanga akili zenu sjui huwa mnaziachaga mapori gani
Wewe ndo huna akili,mtu anayefuatilia na kuujua mpira kamwe hawezi kuchekelea ujinga huo
 
Chelsea na man cty wote wapo uefa..vipi hawajakutana round zote mbili?

Hivi hamjiulizi wale wenzetu wanapanga vipi ratiba??

Epl
Uefa
Fa
Carabao
International break

Na game Zinaenda fresh tu
Mkuu watu watasema huu ulinganifu ni very unfair, wenzako wanacheza week days, facilities ziko juu kuanzia miundombinu ya viwanja mpaka usafiri wa kufika eneo moja hadi lingine,

Ulinganifu huu sio sawa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiii ni hatar afu sio mara ya kwanza kwa simba ata msimu uliopita walifanya vivyo dhidi ya azam
 
Chelsea na man cty wote wapo uefa..vipi hawajakutana round zote mbili?

Hivi hamjiulizi wale wenzetu wanapanga vipi ratiba??

Epl
Uefa
Fa
Carabao
International break

Na game Zinaenda fresh tu
Geography ya Ulaya na Logistics zao za usafiri ni Simple tu unaweza toka Asubuhi London jioni ukacheza Mechi Paris. Toka Bongo sasa kwenda Lubumbashi... Unaanza Dar - Addis Ababa unalala kesho yake unaunga mpaka Kinshasa. .. hapo ndio utafute Flight to Lubumbashi.

Geography na poor connection between places ndio inafanya ratiba za ligi kuvurugika hasa pale timu inapokua na International games
 
Kwa sababu Simba tunachukua ubingwa tutaomba bodi ya ligi tukutane mara moja Tu inatosha

Kama Yanga waliomba msimu wa 2016/2017 walipochukua ubingwa Kwa mara ya mwisho mechi Yao na Ndanda fc wacheze Dar es salaam badala ya Mtwara kisa washerekehe Ubingwa na wakakubaliwa,nadhani hili la Simba halitashindikana wakiomba

Ndy ligi yetu,tusameheane Tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…