Hakika Hii Ndio Ligi Kuu Ya Tanzania Bara

Tatizo team za bongo zinadeka mno, tujiulize ulaya wanameneji vipi kucheza ligi zote na kuisha kwa wakati, Tuige England , ambao Wana makombe mengi tunaweza kujifunza kitu , mana wabongo wanavichwa vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda kujifananisha na watu wa dunia ya kwanza wakati wale sio wenzetu kwenye issues za maendeleo.

Wenzetu wana miundombinu bora na ya uhakika,leo unatoka mfano belgium kwa tren mpaka london UK tena kwa masaa tu!!sisi viwanja vyetu mvua ikinyesha tu mchezo unaailishwa! Kwann mipango yao isikamilike?!!

Leo hii CCM wakiwa na mikutano ya hadhara kwenye hivyo tunavyoita viwanja vyao, basi kama kuna mchezo wa ligi basi ujue mchezo utailishwa kupisha shughuli za chama,au ngoma.
Timu ikiwa inatoka mwanza kuja kucheza dsm,ni safari ya siku nzima,inabidi timu angalau iwahi siku mbili kabla ya mechi walau ndio itaweza kucheza mechi!!
Wakati wenzetu kutoka London mpaka manchester ni mwendo wa masaa tu kwa treni!! Kufananisha mambo ya dunia ya kwanza na uku tulipo dunia ya tatu ni matumizi mabaya ya akili.
 
Ila nawahakikishia wale ndio wangekua na miundo mbinu mibovu kama yetu bado tu wangejua ratiba inawekwa vipi na mambo yangeenda fresh kabisa...wenzetu akili nyingi sana, watu mameajiriwa kwa ajili ya hiyo kazI tu sio hapa wapuuzi wanajipangia tu
 
umepewa facts umebaki kupuyanga tu. chutama acha ubishi wa kiyanga
 
Tatizo team za bongo zinadeka mno, tujiulize ulaya wanameneji vipi kucheza ligi zote na kuisha kwa wakati, Tuige England , ambao Wana makombe mengi tunaweza kujifunza kitu , mana wabongo wanavichwa vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miundo mbinu ya ulaya utalinganisha na hapa au.mmekaa kukariri ulaya. Timu inashiriki klabu bingwa, shirikisho , ligi kuu, azam confederation cup unataka ulinganishe na timu inayoshiriki michuano miwili ya ndani tafuteni sababu nyingine ya timu yenu kufanya vibaya siyo mnaleta vijisababu vya kuungaunga.
 
Tatizo team za bongo zinadeka mno, tujiulize ulaya wanameneji vipi kucheza ligi zote na kuisha kwa wakati, Tuige England , ambao Wana makombe mengi tunaweza kujifunza kitu , mana wabongo wanavichwa vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ligi ya bongo imeisha..gape ya game namungo peke ake ndo yupo nyuma,naye ana game hapa kukaa sawa.

TFF wamejitahid sana kwenye rtb sio kama miaka ya nyuma.
 
Sasa we hapa hoja yako ni ipi hufahamu kwamba hao wote wawilii ratiba zao za epl ziliingiliwa na mechi zao za Caf....

Yanga akili zenu sjui huwa mnaziachaga mapori gani
Siku mkichomoa mwiko nyuma ndo mtapata akili ninyi Nyani FC
 
wakitaka na wao kubebwa waingie robo fainali CAFCL
 
Wasipokuelewa apo bas tena maana Utopolo vichwa vigumu sanaa
 
Chelsea na man cty wote wapo uefa..vipi hawajakutana round zote mbili?

Hivi hamjiulizi wale wenzetu wanapanga vipi ratiba??

Epl
Uefa
Fa
Carabao
International break

Na game Zinaenda fresh tu
Ulaya na huku kuna utofauti Mkubwa sana mkuu kwenye logistics.
 
Mkuu watu watasema huu ulinganifu ni very unfair, wenzako wanacheza week days, facilities ziko juu kuanzia miundombinu ya viwanja mpaka usafiri wa kufika eneo moja hadi lingine,

Ulinganifu huu sio sawa [emoji3][emoji3][emoji3]
Yani sijui kwanini hoja nyepesi hii ila mtu anashindwa kuelewa.
 
Ila nawahakikishia wale ndio wangekua na miundo mbinu mibovu kama yetu bado tu wangejua ratiba inawekwa vipi na mambo yangeenda fresh kabisa...wenzetu akili nyingi sana, watu mameajiriwa kwa ajili ya hiyo kazI tu sio hapa wapuuzi wanajipangia tu
Unahisi wangefanyaje labda ili ratiba zisiharibike?.
 
Ila nawahakikishia wale ndio wangekua na miundo mbinu mibovu kama yetu bado tu wangejua ratiba inawekwa vipi na mambo yangeenda fresh kabisa...wenzetu akili nyingi sana, watu mameajiriwa kwa ajili ya hiyo kazI tu sio hapa wapuuzi wanajipangia tu
Hoja zote hizo ni kutaka tu kuhalalisha utopolo kuweka mpira kwapani na wasitokee uwanjani hiyo tarehe 08/05/2021!! Utopolo tulieni tu sindano iwaingie sawa saw a!
 
Kwani ligi ya bongo imeisha..gape ya game namungo peke ake ndo yupo nyuma,naye ana game hapa kukaa sawa.

TFF wamejitahid sana kwenye rtb sio kama miaka ya nyuma.
Bado haijakaa sawa , timu kubaki na viporo sita ni rahisi kupanga matokeo.
 
Haya malalamishi kwa nini leo? Mlipokuwa mmetangulia kwa baiskeli ya mbao mlikuwa kimya.
 
Kwa utopolo simba na mamungo kutokukutana hiyo ni pointi inayotosha lujitoa kwenye ligi!! Kwa bahati mbaya Mwakalebela alishapigwa pini, vinginevyo angeitisha press conference na kutangaza kujitoa ligi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…