change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Tunapenda kujifananisha na watu wa dunia ya kwanza wakati wale sio wenzetu kwenye issues za maendeleo.Tatizo team za bongo zinadeka mno, tujiulize ulaya wanameneji vipi kucheza ligi zote na kuisha kwa wakati, Tuige England , ambao Wana makombe mengi tunaweza kujifunza kitu , mana wabongo wanavichwa vigumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu wana miundombinu bora na ya uhakika,leo unatoka mfano belgium kwa tren mpaka london UK tena kwa masaa tu!!sisi viwanja vyetu mvua ikinyesha tu mchezo unaailishwa! Kwann mipango yao isikamilike?!!
Leo hii CCM wakiwa na mikutano ya hadhara kwenye hivyo tunavyoita viwanja vyao, basi kama kuna mchezo wa ligi basi ujue mchezo utailishwa kupisha shughuli za chama,au ngoma.
Timu ikiwa inatoka mwanza kuja kucheza dsm,ni safari ya siku nzima,inabidi timu angalau iwahi siku mbili kabla ya mechi walau ndio itaweza kucheza mechi!!
Wakati wenzetu kutoka London mpaka manchester ni mwendo wa masaa tu kwa treni!! Kufananisha mambo ya dunia ya kwanza na uku tulipo dunia ya tatu ni matumizi mabaya ya akili.