Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
hahahaha we jamaaubunifu mzuri
aiseee nipatie namba zke huyu ..mkuu
TANZANIA PEKEE.
hahaaa sasa wakivaa hizi ..papuchi zao sizitkuwa na magaga..au kama msasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wale wenye nyonyo kubwa si watavaa kikapu
Viwanda vya Kaka Fid Q ndio hivi
Duh.... hizi ni hatari kwa afya. Via vya uzazi vyaweza kupata magamba ya mambaHahaha mkuu hulali?Ukihitaji moja ya shemeji nitakuunganisha na muuzaji
hahaaa acha masihara mkuu ...hizo lazima upatte chawaMkuu si unajua tena Tanzania ya viwanda.Hizo zimesuguliwa na mafuta ya mnyonyo.Ni laini kama sufi
Mimi hata kwa mtutu sitavaa. Bora nisiitwe mzalendo kama kutovaa hiyo kutaninyima sifa ya uzalendo.....Zimesuguliwa kwa ndani na msasa mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mimi hata kwa mtutu sitavaa. Bora nisiitwe mzalendo kama kutovaa hiyo kutaninyima sifa ya uzalendo.....