Hakika hii ni Tz ya viwanda,jionee hapa bidhaa bora zaidi made in Tanzania

Hakika hii ni Tz ya viwanda,jionee hapa bidhaa bora zaidi made in Tanzania

Kama viwavi aahaaa nimekosea , kama viwanda vyenyewe ndo hivi bora niwe mtazamaji tu.
 
bfb9d148fb7aea158f08f0ec17667b58.jpg

TANZANIA PEKEE.
aiseee nipatie namba zke huyu ..mkuu
 
hahaaa sasa wakivaa hizi ..papuchi zao sizitkuwa na magaga..au kama msasa
Mkuu si unajua tena Tanzania ya viwanda.Hizo zimesuguliwa na mafuta ya mnyonyo.Ni laini kama sufi
 
Hahaha chawa wanatoka wapi wakati zinasafishwa kwa madawa ya asili
 
Hivi we kweli ni mwaafrika mtanzania halisia? Mkuu support culture yako kuwa mzalendo achana na mambo ya kizungu
Mimi hata kwa mtutu sitavaa. Bora nisiitwe mzalendo kama kutovaa hiyo kutaninyima sifa ya uzalendo.....
 
Hatuwezi pata mask zinazofanana na bidhaa hizi?
 
Back
Top Bottom