HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

Timu imefika fainali unaiita mbovu? Timu imemchakaza Barcelona unaiita Mbovu? Jiandae kupata maumivu
Mimi sijaiita Juve ni mbovu ila uwezo wake sio wa kuwasumbua wanajeshi kama Modric na Marcelo.
 
Haha kwa mpira upi Madrid ampige juve,,nyumba yako kaa nayo ila Madrid hamuwezi Juve
[emoji15] Mashabiki Wa barca bana!! kwa kuwa mlipokea kipigo kizito, mnafikiri na Madrid naye yatamkuta kama yalivyowakuta? Poleni [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
 
Kaangalie record head to head alf ndyo uje tena uweke libanda chako
 
Yani kumiliki nyumba moja unajeuri kiasi hicho,ungekuwa na nyingi ingekuwaje?
 
Habarini Wadau,

Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.

Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu.

Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.

Anybody to bet ? [emoji12]

Kesho nakutafuta lete hati au mkataba wa manunuzi ya kiwanja nami nitatoa elfu hamsini na mashahidi tuviache kwa mwanasheria, baada ya matokeo yeye anakabidhi tu.
 
Habarini Wadau,

Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.

Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu.

Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.

Anybody to bet ? [emoji12]
50,000/- sina ila hiyo nyumba yako naitaka Mkuu, maana ya Mungu mengi vipi tunaweza kuandikishana??
 
Habarini Wadau,

Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.

Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu.

Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.

Anybody to bet ? [emoji12]

Mimi NAGAWA MKE NA DADA WOTE MKAE Naoo
 
Back
Top Bottom