[emoji15] Mashabiki Wa barca bana!! kwa kuwa mlipokea kipigo kizito, mnafikiri na Madrid naye yatamkuta kama yalivyowakuta? Poleni [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Haha kwa mpira upi Madrid ampige juve,,nyumba yako kaa nayo ila Madrid hamuwezi Juve
Anybody to bet ? [emoji12]
Kwa Mpira Upi Wa Juve?Labda kama unatania Ila kiuhalisia Madrid anakufa June,3
Kama wale Bookmakers wanaotoa zile points za kubet huwa wanakosea kuotea matokeo, basi wewe uliye mtu mmoja unaweza ukakosea zaidi...Kwa game hii nina uhakika kabisa wa ushindi.
Habarini Wadau,
Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.
Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu.
Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.
Anybody to bet ? [emoji12]
50,000/- sina ila hiyo nyumba yako naitaka Mkuu, maana ya Mungu mengi vipi tunaweza kuandikishana??Habarini Wadau,