HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

50,000/- sina ila hiyo nyumba yako naitaka Mkuu, maana ya Mungu mengi vipi tunaweza kuandikishana??
Ndio nipo tayari kabisa na nipo very serious, hati miliki ninayo kabisa.
Kama unajiamini mi naweka jiwe wewe unaweka hati

Kesho nakutafuta lete hati au mkataba wa manunuzi ya kiwanja nami nitatoa elfu hamsini na mashahidi tuviache kwa mwanasheria, baada ya matokeo yeye anakabidhi tu.
 
Angalia usianze kulala nje na baridi hii ukaishia kupata pneumonia bure.

Kuupita ukuta wa Juventus labda ule ugali wa mtama,Zidane atakalishwa mapema sana.
 
Mzee..tulia na nyumba yako..ila Real Madrid wapo vizur sana...na game itakuwa nzur sana. Ila nawapa shilingi Juve
 
Madrid anashinda mwanzo mwisho. Siweki chochote ila Madrid bingwa UEFA
 
Naona nyumba imepona mkuu hongera sana.
 
Angalia usianze kulala nje na baridi hii ukaishia kupata pneumonia bure.

Kuupita ukuta wa Juventus labda ule ugali wa mtama,Zidane atakalishwa mapema sana.

Huo ukuta ulikua ni wa mkate, watu wameumwagia chai ukalainika..!!
 
Jaffary Omary
Walisema juve wana beki imara wapi wapi na wapi mbele ya madrid daaaah si kwa kipigo cha mbwa mwizi kiasi kile holaaa madrid
Poa · 9 · Jibu ·
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…