Kauli ya Mhe. Waziri Mchengerwa kuwa UVCCM Pwani inanuka rushwa na majibu ya Mwenyekiti wa UVCCM Pwani, Ndugu Samaha Seif, tarehe 18/10/2026 yamezua maswali.
Kama wanachama tunahitaji uwazi. Tunaiomba Uongozi wa UVCCM Taifa na TAKUKURU kulichunguza suala hili ili ukweli ubainike.
Vijana tunahitaji viongozi safi na wa kuaminika kulinda heshima ya Jumuiya yetu.
Chama kikongwe lazima kibaki na heshima yake.
Soma Pia: UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa
Je Samaha Seif ni Msafi?
Anuki rushwa?
Huyu Mwenyekiti hana kazi wala ajawai kuajiriwa sehemu yoyote kwa sababu elimu yake ni form four aliyepata matokeo ya 0
Ila anaishi maisha mazuri sana amepanga buza apparment analipa laki 8 kwa mwezi
Anamiliki gari mbili Wish yenye usajili wa T244 DXS na Toyota harrier T733 ELT
Anawezaje kujimudu hivi mtu asiyefanya kazi yoyote kama sio rushwa?
Mwaka 2025 mwezi 5 amekwenda Umra kufanya ibada garama za usafiri anawezaje kuzimudu kama sio rushwa?
Wakati wa uchaguzi kura za maoni za CCM 2025
Ndio alipewa hio Toyota harrier
Hakika Mnec mchengerwa kusema uvccm Pwani inanuka rushwa na aifai yupo sahihi
Samaha seif ni mpenda rushwa na ndio kiongozi wa vijana Pwani