Kwa habari ya kazi, magari, huyo ni mwanamke, kwa asili ni wa kuhudumiwa.Kauli ya Mhe. Waziri Mchengerwa kuwa UVCCM Pwani inanuka rushwa na majibu ya Mwenyekiti wa UVCCM Pwani, Ndugu Samaha Seif, tarehe 18/10/2026 yamezua maswali.
Kama wanachama tunahitaji uwazi. Tunaiomba Uongozi wa UVCCM Taifa na TAKUKURU kulichunguza suala hili ili ukweli ubainike.
Vijana tunahitaji viongozi safi na wa kuaminika kulinda heshima ya Jumuiya yetu.
Chama kikongwe lazima kibaki na heshima yake.
Soma Pia: UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa
Je Samaha Seif ni Msafi?
Anuki rushwa?
Huyu Mwenyekiti hana kazi wala ajawai kuajiriwa sehemu yoyote kwa sababu elimu yake ni form four aliyepata matokeo ya 0
Ila anaishi maisha mazuri sana amepanga buza apparment analipa laki 8 kwa mwezi
Anamiliki gari mbili Wish yenye usajili wa T244 DXS na Toyota harrier T733 ELT
Anawezaje kujimudu hivi mtu asiyefanya kazi yoyote kama sio rushwa?
Mwaka 2025 mwezi 5 amekwenda Umra kufanya ibada garama za usafiri anawezaje kuzimudu kama sio rushwa?
Wakati wa uchaguzi kura za maoni za CCM 2025
Ndio alipewa hio Toyota harrier
Hakika Mnec mchengerwa kusema uvccm Pwani inanuka rushwa na aifai yupo sahihi
Samaha seif ni mpenda rushwa na ndio kiongozi wa vijana Pwani
View attachment 3694741View attachment 3694742
Kauli ya Mhe. Waziri Mchengerwa kuwa UVCCM Pwani inanuka rushwa na majibu ya Mwenyekiti wa UVCCM Pwani, Ndugu Samaha Seif, tarehe 18/10/2026 yamezua maswali.
Kama wanachama tunahitaji uwazi. Tunaiomba Uongozi wa UVCCM Taifa na TAKUKURU kulichunguza suala hili ili ukweli ubainike.
Vijana tunahitaji viongozi safi na wa kuaminika kulinda heshima ya Jumuiya yetu.
Chama kikongwe lazima kibaki na heshima yake.
Soma Pia: UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa
Je Samaha Seif ni Msafi?
Anuki rushwa?
Huyu Mwenyekiti hana kazi wala ajawai kuajiriwa sehemu yoyote kwa sababu elimu yake ni form four aliyepata matokeo ya 0
Ila anaishi maisha mazuri sana amepanga buza apparment analipa laki 8 kwa mwezi
Anamiliki gari mbili Wish yenye usajili wa T244 DXS na Toyota harrier T733 ELT
Anawezaje kujimudu hivi mtu asiyefanya kazi yoyote kama sio rushwa?
Mwaka 2025 mwezi 5 amekwenda Umra kufanya ibada garama za usafiri anawezaje kuzimudu kama sio rushwa?
Wakati wa uchaguzi kura za maoni za CCM 2025
Ndio alipewa hio Toyota harrier
Hakika Mnec mchengerwa kusema uvccm Pwani inanuka rushwa na aifai yupo sahihi
Samaha seif ni mpenda rushwa na ndio kiongozi wa vijana Pwani
View attachment 3694741View attachment 3694742
Mashambulizi binafsi badala ya kujibu hoja zake..kwa Mwanamke hivyo ulivyosema ni vitu vya kawaida kumiliki.Kauli ya Mhe. Waziri Mchengerwa kuwa UVCCM Pwani inanuka rushwa na majibu ya Mwenyekiti wa UVCCM Pwani, Ndugu Samaha Seif, tarehe 18/10/2026 yamezua maswali.
Kama wanachama tunahitaji uwazi. Tunaiomba Uongozi wa UVCCM Taifa na TAKUKURU kulichunguza suala hili ili ukweli ubainike.
Vijana tunahitaji viongozi safi na wa kuaminika kulinda heshima ya Jumuiya yetu.
Chama kikongwe lazima kibaki na heshima yake.
Soma Pia: UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa
Je Samaha Seif ni Msafi?
Anuki rushwa?
Huyu Mwenyekiti hana kazi wala ajawai kuajiriwa sehemu yoyote kwa sababu elimu yake ni form four aliyepata matokeo ya 0
Ila anaishi maisha mazuri sana amepanga buza apparment analipa laki 8 kwa mwezi
Anamiliki gari mbili Wish yenye usajili wa T244 DXS na Toyota harrier T733 ELT
Anawezaje kujimudu hivi mtu asiyefanya kazi yoyote kama sio rushwa?
Mwaka 2025 mwezi 5 amekwenda Umra kufanya ibada garama za usafiri anawezaje kuzimudu kama sio rushwa?
Wakati wa uchaguzi kura za maoni za CCM 2025
Ndio alipewa hio Toyota harrier
Hakika Mnec mchengerwa kusema uvccm Pwani inanuka rushwa na aifai yupo sahihi
Samaha seif ni mpenda rushwa na ndio kiongozi wa vijana Pwani
View attachment 3694741View attachment 3694742
AjabuBado Kuna vijana wanajinadi wapo ccm?
Huyu Mwenyekiti hana kazi wala ajawai kuajiriwa sehemu yoyote kwa sababu elimu yake ni form four aliyepata matokeo ya 0
Si anakatikia ukuni unajua mimi nashangaa basi tu mwanamke huyo unajua anaweza akapewa hata Ford Ranger kikubwa akatikie kuniHana Kazi Vipi wakati Ni Mwenyekiti wa UVCCM Pwani umesema....au huwa Hakuna Mshahara?!!!Mtajuana huko..Ki Maisha kama mbali naye..anaweza kuwa hata Ni Nyumba ndogo ya Mzee Wassira Masatu.Siyo level ya Tlaatlaat na Mwashambwa..wa Buku 7 za Nyuzi Uchwara humu na Kutigoshwa ambako hakulipi ..Mwenzao anatoa mbele kutamu ...nyuma ni BONUS na Sura inaita
Mnata wale wapi wakati hawana mshaharaPiga nikupige,tusubiri timu Kawaida kujibu mapigo.
huwa nasemaga kama uko ccm kwa maslahi ni sawa lkn ukiwa hoya hoya ,huku wengine wakila neeema ni uboyaBado Kuna vijana wanajinadi wapo ccm?
hahahahaha jamaa anaambulia 7kLucas Mwashambwa eti ni kweli Mpwa?