Hakika msimamo huu ndo umenifanya nifanikiwe na kufikia stage nliyopo kimaisha..

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
Nlipokua naanza mapambano yangu ya mafanikio kielimu na kimaisha fomula hii nliitumia. emu na ww jaribu.

"Hata siku moja usitegemee sapport kutoka kwa mtu unaefanana, ama mwenye malengo kama yako, hawaze kusifia chakoo,kama anakutizama kama tishio, hivyo usijihisi vibaya,,!! unapokuwa hupongezi, ukawa unadhani kwamba huonekani. hapanaa.. wanakuona, wanatambua" unachofanyaa.

Ila wataendelea kuwa kimya kwa sababu ulichonacho wakikitoa kwa watu,kuna uwezakano wa cha kwao kuonekana cha kawaida ama kutooneka kabisa.
 
Ujumbe mzuri sana ila umeshindwa kuuwasilisha ipasavyo[emoji6]
 
Maisha hayana fomula unaweza pita kushoto mwingine kulia lakini mkafika kwa pamoja na mtu aliye pita katikati,Ishi vile unaweza.
 
Kila mtu Ana njia yake yakutokea mkuu kumbuka
 
Mungu akusaidie, kama mafanikio ya kielimu uko hivyo mmh kweli tuna safari ndefu kwenye soko la ajira la East Africa.
 
Maisha hayana fomula kabisa ukiweka ukiweka 3 yenyewe yanakupa negative yaache yakupeleka km tanga baharini shenzi type
 
Back
Top Bottom