Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Mapenzi wivu bhanaa asikwambie mtu, penzi pasi na wivu bado halijakamilika
 
Mimi mwenyewe nilipokuwa mtoto nilikuwa na mawazo kama ya mleta uzi. Ila siku hizi nimekuwa muhenga sina tena mawazo kama hayo. Nikisikia mtu kajinyonga, sishangai bali natafakari mengi. Nikisikia wanandoa wamepigana, sishangai. Huwa nasema kuta za vyumba husitiri mengi. Hakika, kua uyaone!
 
Yakupasa ujiulize yafuatayo kabla ya kuanza kulialia na kwenda kumshitaki Mkeo popote pale:

1) Je huyo Mpenzi, Mchumba au Mke ulimkuta na Bikira?

2) Wewe Binafsi huna Mchepuko unaomgonga mbali na Mkeo?


Mwanamke unapokuwa na uhusiano au ndoa naye...we mwambie tu maneno machache kuwa...

"Kutoka nje ya Ndoa sio vizuri kwakuwa kuna magonjwa ya zinaa na utashindwa kuitunza familia, pia Uaminifu ni jambo zuri, na akitoka nje atumie Condom..BAAAS.
Safi kabisa Azarel umeandika point kweli kweli.
 
Yaan ukigongewa mke halafu usi mind wew ni Malaya pro max
 
Back
Top Bottom