Hakika Mwenye Enzi Mungu anapokea swaumu nyingi sasa wakristo na waislam

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Wsalaam wana JF

Hakika sasa swaumu nyingi zipo malangoni mwa Mwenye Enzi Mungu. Wote kwa pamoja,wakristo na waislaam.

Mungu mwenye rehma atufanyie wepesi, autujalie riziki njema, atuondolee sukuma gang na bashite, amtunze mama yetu na kumpa hekma na subra.

Tafadhali ongeza sala yako...
 
Mungu mwenye rehma atufanyie wepesi, autujalie riziki njema, atuondolee sukuma gang na bashite, amtunze mama yetu na kumpa hekma na subra.
Najua hawa ndio walengwa wa uzi wako ayo mengne ni vionjo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…