Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

da!! kweli kabisa,nilishuhudia hili nilipokuwa chuoni,kuna kamdingi kamoja kaliamua kumsomesha mkewe bhana,lakini huyu mama alikuwa akipigwa tatu mzuka na kajamaa ka pale chuo....sasa jamaa kila mwezi alikuwa anakuja kumtembelea mkewe chuoni,,yaaani jamaa aalikuwa anadhalilika san!!! roho ilikuwa inaniuma sana,,kwa kweli NDOA ni mateso makubwa sana!!! bora upate watoto wako uwakusanye na uishi nao tu bila mama zao!!!
 
Acha wivu na kuturudisha kwenye mawazo ya kale. Wanaume wasiotaka wake zao wafanye kazi. Wanaume wengi tunahitaji wake zetu waingize kipato.Hata siku moja huwezi kumchunga binadamu mwingine. Wake zetu wanaobaki majumbani wengine wana mabwana kama ifuatavyo -house boy, wapaka rangi za kucha, vijana wa mtaani, wafanyabiashara wenzake, wauza magenge, wauza maduka , wachungaji na wale wageni wanaotembeza vitu mitaani. Ukiwa na wivu hakuna mahali salama. Wewe tulia, uwe na imani na mke wako, piga sala ili usipate msongo wa mawazo ukakaribisha magonjwa mengi.
 
Some times yes lakin ni 50 kwa 50
 
na wake zenu ambao hawajaajiriwa ni wake zetu sisi boda boda na wafanyabiashara au wauza genge ukitoka tu kwenda kazini na yeye anatoka anakuja kwangu
 
Ndugu mtoa mada suala hili ni tabia na maamuzi binafsi.

Tunaona pia wanachofanya baadhi ya wamama wa nyumbani,wafanya biashara za fremu n.k

Pia tabia za dada zako mnapofunga geti na kuamini mko salama wakishua mmelala, na mtu anaruka ukuta na kuingia kumkanyaga humo humo.😊
 
Muwe mnawatindua vzr wake zetu huko makazini ili mtutulizie mapepe yao. Sisi sukari na pressure imetuzidia.


Muwahonge pia wake zetu
 
Sasa itakuaje?kwamba wasifanye kaz au maana kila sehemu vijana wa hovyo wapo na kuliwa ni mtu mwenyew kutaka na huwez zuia
 
Oy ur wee
 
Oy ur wee
 
Aiseee
 
Nyani huwa haoni kirakawe kalioni bali hucheka cha wenziwe.
Mkeovunaemuacha nyumbani ni mke wetu mtaani au mke wetu ktk nyumba tuliopanga au ni mke wetu ktk kikazi ulichomfungulia mjini au mtaani popote.
Nikwambie tu mwanamke ni yule yule popote alipo hajawahi kumuacha mwanaume salama
 
nae mwanaume anagongewa tu sbb atapunguza mspenzi kwa mke wake
 
Sasa itakuaje?kwamba wasifanye kaz au maana kila sehemu vijana wa hovyo wapo na kuliwa ni mtu mwenyew kutaka na huwez zuia
Shida unakuta mtu umeoa kwa akili zako kwamba nampenda ananipenda Mungu hajahusika then unampelekea Mungu akabariki kumbuka ulikuta kashaliwa yaani shetani ndie aliye Anza Kula tunda.Mfano Mzuri Ni Hawa wa adamu shetani alibandua Kwanza akampata kaini hivo hiyo hali ipo hivo ogopa Sana Hilo. Asilimia kubwa unakuwa umeoa Mwanamke.

Ukitulia ukamwomba Mungu hakika atakupa Mke haswa na siyo mwanamke. Na kila mbanga utajua.

Basi mm nilikuwa huyo wa kuoa MTUMISHI wa umma lakini nilikuwa Nimeokoka nae kabla TU ya kuoa nilikutana na Bwana Yesu. Nikamwambia uhusiano wetu Ni miaka 5 Kama nakuoa Ni Sasa sbb sitaki uzinzi.ni story ndefu ila Baada ya miaka 6 Mambo yakawa magumu.

Nachosema kabla Mungu alinionya nikamtema lakini alikuja analia then tumetoka chuo wote nkasema nisamehe. Bwna Yesu akanambia samehe Kama una amani.ikawa na ikafanyika Bonge ya ndoa.

Nilichofanya Ni kumwambia Mungu siwez kumlinda mke wngu ila pia siwezi kumsaliti,wewe ulie mlinzi uchunguzaye Roho ya Mtu sikutumikii Bure Mimi nataka AMANI na ikiwa atanisariti tengeneza mazingira tuachane siitaki ndoa yenye UCHAFU ndani yake. Kwa hiyo mbanga zote nilikuwa nazipata kupitia Maono na ndoto mi Mtu w kusali. Mimi Ni tofauti na walokole nasema TU mlokole ili nieleweke.

Matukio yote ya kwao kuingilia na yy Hadi kutaka kuvunja ndoa Mungu wangu alikuwa ananipeleka kwenye vikao vyao kwa Roho na mahakimu alowahonga anapowapigia sim Yale maongez usiku nkilala ktk ndoto anakuwa amenipigia Kwanza mm na akipokea yule naanza kusikia maongez na vikao na kesi itaendaje na niliiona kesi mwanzo ila kasoro mwisho kunatukio lilifanyika na Mungu alificha.

Ikumbukwe Ni Mimi ndiye nilimshauri na kumuharakisha afate utaratibu wa kimahakama ili tukimalizana nami NIOE siwez kuwa mzinzi,mwasherati nimehama huko Nisha takaswa,nimeoshwa na nimehesabiwa HAKI NA YESU NA YY ANAJUA.

SO YOTE NILIYOONYESHWA NA BABA YANGU YESU NAE NILIMWAMSHA NIKAMWAMBIA UPENDO NA NI KWA SBB NILIIJUA KESHO YAKE KUPITIA KWA MUNGU. yeye Yesu anasema sisi Ni rafaki zake so nliona huruma,nililia,niliomboleza aliniona alinisikia alisema harudi nyuma,nami nikamwambia sikulilii wewe na Lilia nimpendae atakayoyapitia.

Kufupisha TU. Hakukuwa na sbb ya kuvunja ndoa nilimshinda kote ila akahonga na kesi ikanigeukia, HUKUMU IKAWA YA AINA FLAN NLILIA SBB NIMEKHUKUMIWA KWA KITU SIJAWAH KUKIFANYA,KITU AMBACHO NIMEINGIA KWENYE NDOA NAJUA HAWEZI KUNIPA MTOTO KWA WAKATI,KITU AMBACHO NIMEKESHA KANISANI NIKIOMBA KWA AJIR YAKE ASAMEHEWE,AFUNGULIWE HAKIKA CHOZI LILINITOKA NIKASEMA HATA YESU ALIHUKUMIWA HANA HATIA NA AKASEMA MTAKINYWEA.

KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NILIWEZA KUTAMBUA MAWAZO YA MAKALANI WA MAHAKAMA KUWA NDOA ISIVUNJWE HAKUNA SBB.

NIKAENDA KANISANI NIKAMSHUKURU MUNGU NIKAOMBA NGUVU,NIKAOMBA HATUA MPYA,MAISHA YAKAENDELEA NAVO ANDIKA MKE WANGU MPYA AMELALA PEMBENI YANGU,KAZI ZETU NI WAFUGAJI NA WAKULIMA NA TUNASALI PAMOJA,

MPENDE MUNGU ATAKUSHANGAZA JINA LAKE YESU.NIMEFUPISHA SANA.


YAANI MUNGU HUYU. ALICHOKIFANYA NI KUNILETEA KTK NDOTO MTU MWINGINE ANA MBUSU MKE WANGU SHAVUNI[emoji848] BUSU NI UPENDO NA BUSU NI USALITI

YUDA ALIMBUSU YESU.YAANI HUHITAJI NGUVU WALA GHARAMA ILA GHARAMA YAKO ACHA MAOVU ,UZINZI,UASHERATI NA VYOTE MSIKIZE MUNGU ANATAKA NN ATAKULINDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…