lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kwa mtu yeyote kuwa mwanachama wa Chadema hadharani wewe utakua sio binadamu wa kawaida.
Ukiwa mwanachama wa Chadema jitambue kuwa wewe Ni tageti namba moja wa kundi hatari kabisa hapa Kusini mwa jangwa la shahara liitwalo CCM.
Kundi hili lina nguvu sana. Kuna watu wameumizwa na kundi hili, wapo na tunawajua. Sasa ikiwa tu wanaume wa Chadema wanapatwa na misukosuko mfano.
Mbowe amebomolewa club bilicanas, mashamba yake ya mboga kaharibiwa, Lowassa na Sumaye kunyooshwa na hatimae kurudi CCM.
Je, vipi kwa wanawake wanachama na wale wanaoishabikia Chadema hadharani?
Unajua wanawake wa Chadema wanaogombea nafasi za ubunge na udiwani wengi wameshachukua fomu?
Kwa uchache:
Mama lao _ Halima Mdee
Jessica kishoa
Tendega,
Kati ya hawa kuna waliokutana na vizuizi vya Mapolisi wanaume wenye karandinga likiwazuia kwenda kuchukua fomu, Jessica Kishoa, lakini kachukua.
Wanawake wa Chadema ni majasiri kuliko wanawake wote hapa Tanzania.
Nadhani mkwara wa Rais mtarajiwa Lissu kuwaamuru wagombea wote waendapo kuchukua fomu waende na wapiga kura wao umesaidia.
Naomba kama kuna mtu anajua wanawake kutoka pande nyingine waliochukua atuwekee hapa.
Lissu noma.