Hakika nimepoteza nguvu zangu bure

Hakika nimepoteza nguvu zangu bure

Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake.

Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata laki nane hadi tisa (hiyo ni faida kwa kila siku).

Ila kinachonishangaza nimejikalia tuu nyumbani nacheza na kuku,mabata mzinga na kanga.

Kuna saa naweza kubeba milioni kama ishirini hivi nikazirusha zikasambaa chumbani ili angalau nipate kazi ya kuziokota na kuanza kuzihesabu tena.

Eti naweza kuwa nimelogwa? Au ni kawaida
lengo la kuleta huu uzi ni lipi?
 
nilishasemaga....wagonjwa wa akili kama hawa watakuwa wengi sana Jiwe akimaliza muda wake
 
Siku hizi umeacha kula makombo ya misosi wanayoacha washkaji bar?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliambulia savanna mkuu
 
Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake.

Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata laki nane hadi tisa (hiyo ni faida kwa kila siku).

Ila kinachonishangaza nimejikalia tuu nyumbani nacheza na kuku,mabata mzinga na kanga.

Kuna saa naweza kubeba milioni kama ishirini hivi nikazirusha zikasambaa chumbani ili angalau nipate kazi ya kuziokota na kuanza kuzihesabu tena.

Eti naweza kuwa nimelogwa? Au ni kawaida
Fara
 
Hakika umelogwa. Mtu fukara kama wewe kuwaza kuwa ana milioni ishirini anazirusha chumbani na kuziokota ni ukichaa mkubwa.
 
We ni Shirima wa wapi? Achaga uboya aisee! Hizi swaga sio meku!!!
 
Back
Top Bottom