Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hapana aisee haumtendeii haki Mugalu. Mugalu ni "complete package" ile. Mugalu alikuwa anafanya kila kitu kwa usahihi kwa asilimia tisini na tisa lakini pale tu inapofika kutumbukiza mpira ndani ya nyavu alikuwa anashindwa. Sijui hata alikumbwa na nini kiasi alikuwa haoni goli.Huyu ni new Mugalu huyo hawezi uzwa kabsa majisumbue tu tukonae mpaka 2025
Hapana aisee haumtendeii haki Mugalu. Mugalu ni "complete package" ile. Mugalu alikuwa anafanya kila kitu kwa usahihi kwa asilimia tisini na tisa lakini pale tu inapofika kutumbukiza mpira ndani ya nyavu alikuwa anashindwa. Sijui hata alikumbwa na nini kiasi alikuwa haoni goli.
For sure simba hawana mawinger. Full backs zale ndo hugeuka winger na kuleta madhara na sio hao wingers.
Hao watatu uliosemaUAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7
Mawinga. 2023
( 1. Luis MIQUISSONE.
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.
Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.
1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.