Hakika onana ni mashine haswaa scouting ilifanya kazi yake

Hakika onana ni mashine haswaa scouting ilifanya kazi yake

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Sina la kusema winga ya ball mzee wa kuwasomba mabeki Hana mpinzani pale Cairo watu walivunjika miguu kwa vyenga vya mikas kwa winga ya ball Kutoka msimbaz


Natumai mzee wa mahesbu aka MWASIBU MWANDAMIZI utakuja na takwimu za fedha za huyu winga hatari la ball

Jana ulimwengu mzima uliona Kaz ya esomba ilivyo hakika angeanza toka mwanzo mambo yangekuwa mazuri zaidi

TUMETOLEWA KIUME KAMA POWER DYNAMOS
 
Onana na Robertino wakala wao mmoja kwa hiyo usitegemee atakaa benchi huyo. Robetino yupo radhi amvumilie Onana acheze kila mechi lakini sio kumpa nafasi Miquisone dakika 20 kila mechi ili apate "match fitness" arudishe kiwango chake na kujiamini. Jiulzeni hivi mechi ya jana Onana aliingia kufanya nini uwanjani wakati timu inahangaika kutafuta goli muhimu la ushindi. Kweli unaingiza Onana na Phiri yupo benchi? Ni kweli benchi zima la ufundi halioni au wameamua kujizima data? Anapoteza mipira kwa adui halafu hata hawezi kumkimbiza huyo adui walau kumpa presha. Kwa kocha mzuri huyu Onana hamzidi chochote Mwanuke au hata yule dogo alietokea Zanzibar sijui wanamuita Mudi. Na kwa Chilunda haingii hata nusu yake lakini hesabu dakika na sio mechi alizocheza Chilunda linganisha na alizocheza Onana.

Onana ni kwa mtizamo wangu ni "project" ya wajanja wa West Africa kama ilivyokuwa kwa Sakho. Wenzetu wajanja sana wanahakikisha wanamtafutia mchezaji wao jukwaa ambalo ataonekana halafu wamuuze ulaya hata daraja la tatu wakunje mpunga. Simba shtukeni mapema kwani hata kupangwa kwake kila mechi na hata mechi anazoanzia benchi lazima aingie ni kama kuna ujanja janja fulani hivi. Na ikiwezekana ili kumnyima Robertino nafasi ya kumpanga na kuondokana na hilo jinamizi chukueni pesa kidogo mliyopata kwenye mashindano ya CAF mvunjieni mkataba ili Robetino akigeuka kuangalia kwenye benchi anaona Phiri na Chilunda basi.

Kuna wakati watu wanasema makocha wasiingiliwe lakini mimi kwa mtizamo wangu makocha wanapofanya mambo ya ovyo wakiingiliwa sioni shida. Wao makocha wataondoka lakini timu inapata hasara kwenye usajili inasajili wachezaji bora wenye vipaji halafu kocha anaua vipaji anaondoka matokeo yake timu inaingia hasara ya kusajili vipaji vipya kila mwaka. Kwa hili la Onana viongozi wa Simba wasione haya wampe Robetino makavu vinginevyo mtaendela kuleta vipaji vipya kwa gharama kubwa halafu vinaozea benchi.
 
Huyu ni new Mugalu huyo hawezi uzwa kabsa majisumbue tu tukonae mpaka 2025
 
Huyu ni new Mugalu huyo hawezi uzwa kabsa majisumbue tu tukonae mpaka 2025
Hapana aisee haumtendeii haki Mugalu. Mugalu ni "complete package" ile. Mugalu alikuwa anafanya kila kitu kwa usahihi kwa asilimia tisini na tisa lakini pale tu inapofika kutumbukiza mpira ndani ya nyavu alikuwa anashindwa. Sijui hata alikumbwa na nini kiasi alikuwa haoni goli.
 
Mengi yatazungumwa, lakini changamoto ya bongo unaweza tengenezwa kuwa hero ndani ya siku moja, pia kuwa zero(looser) ndani ya Siku moja. Hatujui kabisa ku-analyse wachezaji.

But All I can say, Onana ni Jogo wa kweli, But you can't fool Northern teams by dribbling, just run.

I think ni moment tu, pia bado katika bench ukifanya Sub ya Winger tu, option yako itakua onana over anyone hadi pale Kramo atakapokua fit au tutakapo sajili Winger mwingine. (Fast and Aggressive Winger).
 
For sure simba hawana mawinger. Full backs zale ndo hugeuka winger na kuleta madhara na sio hao wingers.
 
Hapana aisee haumtendeii haki Mugalu. Mugalu ni "complete package" ile. Mugalu alikuwa anafanya kila kitu kwa usahihi kwa asilimia tisini na tisa lakini pale tu inapofika kutumbukiza mpira ndani ya nyavu alikuwa anashindwa. Sijui hata alikumbwa na nini kiasi alikuwa haoni goli.

Alikuwa anapigwa MISUMARI Mizito na John Boko
 
For sure simba hawana mawinger. Full backs zale ndo hugeuka winger na kuleta madhara na sio hao wingers.

UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Luis MIQUISSONE.
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.


HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
 
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Luis MIQUISSONE.
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.


HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
Hao watatu uliosema
Saido, Chama na kibu

Cahama akicheza 10, wanabaki Saido na Kibu.

Wote tunajua Saido alivo mzito kama mechi ina intensity hushindwa ku offer vitu. Labda winger pekee hapo wa kutumainiwa ni Kibu. Ana madhara esp anavokua ana dribble kuingia kwenye box, but not Saido.

Simba wanatakiwa walete winger mashine kama ilivokua Sakho na Miquisone kabla hajafulia.
 
Back
Top Bottom