MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.
Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.
Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.
Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.
Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.
Kwa ufupi Hakika Ruben kaongea maneno ya ovyo kwa maumbile ya wanawake.
Kaenda mbali zaidi kwa kusema kama wanajua wana maumbile hayo kulikuwa na haja gani ya wao kuja duniani?
Ninawasihi mashabiki wa huyu msanii uchwara tumgomee kazi zake zote pia ikitokea kupiga kura kwenye tuzo atakazokuwa nominated tusifanye hivyo.
Tazama hiyo clip kisha utoe maoni yako.