Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Tatizo liko wapi?!
Kama huna kalio nenda shanghai ukaweke makalio feki
Kama huna kalio nenda shanghai ukaweke makalio feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macomedian wengi wa Tanzania kama kina Idris, Steve Nyerere na wapuuzi wengine wako very pathetic. Nashangaa kwanini jamii inawabeza, yaani mtu anaongea ujinga na kujicheka mwenyewe bado watu wanamshangilia.Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.
Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.
Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani.
Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.
Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.
Kwa ufupi Hakika Ruben kaongea maneno ya ovyo kwa maumbile ya wanawake.
Kaenda mbali zaidi kwa kusema kama wanajua wana maumbile hayo kulikuwa na haja gani ya wao kuja duniani?
Ninawasihi mashabiki wa huyu msanii uchwara tumgomee kazi zake zote pia ikitokea kupiga kura kwenye tuzo atakazokuwa nominated tusifanye hivyo.
Tazama hiyo clip kisha utoe maoni yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeh mie nilijua tyuuh, si kulitokea ugomvi kule tiktok kuna jamaa nae ni popular, alitongozwa na Ruben ili amle,Ila ruben ni gay eti?
Hakuna kibaya alichosema...Kama ni kweli..Basi kazingua
Ooh hapo sawaHakuna kibaya alichosema...
Kaongelea kati ya flat screen na kamzigo...
Mi nilipitwa jaman rusha basi huo ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeh mie nilijua tyuuh, si kulitokea ugomvi kule tiktok kuna jamaa nae ni popular, alitongozwa na Ruben ili amle,
Na walikubaliana kwa malipo, sasa kabla ya kufanya utekelezaji wa jambo hilo, waligombana duuu jamaa akamwaga upupu nje, yaan had charts zao, ruben anavojibebisha sasa woiiiiiih.
Hadi ruben alikua analia na alifunga tiktok yake kwa muda, baadae ndo karud tena, but sahiv video zake nyingi anaigiza km fame yaan. Uwiiiiiih
Afu hajar wala nn. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]