Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Hao Wanawake wenyewe ndo Mashabiki zake.
 
Ninawalaum sana wanawake kwa kusapoti hawa watu.... huyu jamaa ana mashabiki waaminifu sana ambao ni wanawake... kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu Hakika Ruben... kinachoudhi wanawake wakisikia mtu ni shoga hukimbilia kuandika "Mungu tulindie vizazi vyetu" lakini kwenye maisha ya kawaida wanawake huwapenda sana hawa watu na kuwa nao karibu.
 
Hivi nyie mnao comment kwenye uzi huu ni kwamba mpo semina hivyo mmelala sehemu moja na mkajikuta mnaendeleza maongezi yenu kwenye huu uzi au?
Maana naona kama sielewi chochote kile humu!!
Hahan
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had watu wananishangaa hapaaa. Ila watu mna maneno jamani khaaah
Hahah sasa jaman kila mtu anajiweka kama akina rio... rio hadi UN amefika mchezo
 
Yeah noel mbona ndo madam boss wa mashouger
Anaishi poshy life masaki hukoo ni mke ya mzungu
Muarabu bhana dear,
Hata ally rehmtulah pia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawaburudisha sasa
 
Mashoga ni loyal friend sana
Yani wana roho nzuri pia nadhan ndo sababu ya watu wa kike kuwapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…