Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
ni private mkuu, usalama nazingatia. Ushauri wako upo makini ntazingatiaAverage ya 60km/L ni unyama. Kikubwa zingatia usalama mkuu kama unatumia private sio boda, chagua njia isio busy sana ata kama ndefu kuliko shortcut.
ni kwel mkuu usipokua makini, mwili unajaa vilakaShida kubwa ya pikipiki ni moja tu; mwili ndiyo bodi.
Hapo unyama aisee. Nina ndugu yangu pia ana private hapa Dar, formula yake ni moja hana haraka. Yupo radhi apite njia ndefu ya 10 km kuliko shortcut iliobusy ya 5 km.ni private mkuu, usalama nazingatia. Ushauri wako upo makini ntazingatia
ndo hvo mkuu haraka haraka mwishowe unachelewa kufika kwel.Hapo unyama aisee. Nina ndugu yangu pia ana private hapa Dar, formula yake ni moja hana haraka. Yupo radhi apite njia ndefu ya 10 km kuliko shortcut iliobusy ya 5 km.
Pia wekeza kwenye kofia. Achana na izo kofia za elfu 30. Tafuta ata Laki 1 ununue kofia nzuri mkuu.
ni kwel mkuu pikipk ni roho mkonon. Japo vyombo vya moto vyote ni hatar.Dah,,,, ! Pikipiki ni kama unatembea na kifo !
Anyway kuwa mwangalifu road, unaweza kuwa makini ukakutana na wapumbavu wameshalewa ama wana stress wakakusababishia ajali !
Kwa miundo mbinu yetu ilivyo mijini sio rafiki kwa pikpk, bora kijjn huko amna magari mengi pia Road za kawaida unatembea kwa mwendo wa wastani !
Zipo paka za lakisaba wewetundo hvo mkuu haraka haraka mwishowe unachelewa kufika kwel.
Ila hiyo kofia ya laki ndo ipoje mkuu
Hili ndo tatizo kuu.Shida kubwa ya pikipiki ni moja tu; mwili ndiyo bodi.
duuuh navuta picha ya hyo kofia au nizile za mashindano ya pikipk?Zipo paka za lakisaba wewetu
chopa lipo gud hili, huwa nalitaman sana.Jaribu Honlg HL 200gy au 250
View attachment 3455671
Hii haiumizi mgongo....Dar-mwanza 12hrs non stop.. hii roho ya paka
Haya yanafunika matuta vizuri sanaJaribu Honlg HL 200gy au 250
View attachment 3455671
Hii haiumizi mgongo....Dar-mwanza 12hrs non stop.. hii roho ya paka
sawa mkuu ntanunua kwa safar ndefuMkuu, ikiwezekana nunua yale mavifaa ya kuendeshea pikipiki ya mikononi, miguuni, kifuani na kofia OG inayofunika kichwa chote.
hakika mkuuNilichojifunza katika pikipiki ukiharibika weka genuine spare parts yake, oil kwa wakati kama jamaa anavyosema matengenezo utayasikia kwa watu.