Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
- #101
nipo geitaUpo sehemu gani?
nipo geitaUpo sehemu gani?
kabxa mkuu, kunajamaa alinunua hata wiki haikuisha pikpk ikaanza kunya moshimalalamiko ya HD ifike muda mo na timu yao waangalie busara ya kufanya, ni kama utapeli sasa
Aiseee, kumbe sio Mimi Tu nimepagawa na hii chuma, juzi Kati hapa nilirequest bolt ikaja hiyo chuma, inatembea na ina nguvu balaa, hvi uingiaji wa gear zake ukoje ?Boxer nimeendesha sana lakini Kuna mtoto mpya sokoni anaitwa SINORAY 180 cc ana gear 6.
Aiseee
Kuna jamaa yangu aliweka block original lakini vimoshi bado vikaweponi kweli spare zake org zmechangamka bei hatar ila ukiweka umeweka.
na ndo tatzo kubwa la boxer cjui kwaninKuna jamaa yangu aliweka block original lakini vimoshi bado vikawepo
Ukishabadilisha tuu basina ndo tatzo kubwa la boxer cjui kwanin
Nna namba A nauza laki5Gear 4 naziona dili sana izo
jamaa inatakiwa walifanyie kaz hili malalamiko yapo kila kona hasa haya matoleo mapya.Ukishabadilisha tuu basi
60km kwa boxer inafika bila shida labda iwe mbovu tu60km kwa boxer hupati, ikikupendelea sana basi utapata 45km/l
Inategemea na barabara hapo, kuna njia Mbovu umbali huo hufiki60km kwa boxer inafika bila shida labda iwe mbovu tu
Yes uko sahihi, ila ukiwa kwenye barabara ambayo imenyooka vizuri 60 inafika. Nimetembea nayo kwa muda mrefu sana so naijua vizuriInategemea na barabara hapo, kuna njia Mbovu umbali huo hufiki
125 au 150?60km kwa boxer inafika bila shida labda iwe mbovu tu
Kuna jamaa mmoja nilimsikia anasema hawa wanafanya makusudi wauze sparena ndo tatzo kubwa la boxer cjui kwanin
150125 au 150?
Vp kuhusu na 125 mkuu
125 sina uzoefu nazo mkuu zaidi ya kuziona tu, binafsi nimemiliki 150 tuVp kuhusu na 125 mkuu
daah wanatukosea sana, yan ikianza kunya moshi hata stimu ya kutamba nayo kwa warembo inakata kabxaKuna jamaa mmoja nilimsikia anasema hawa wanafanya makusudi wauze spare
mkuu tupe uzoefu wa domo la mamba 125Nilikua na BM 150 ,,now na Domo la Mamba 125,, but 150 GIA nne is the best