Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Huwezi kupata km 60 kwa lita. Haiwezekani daimaNdio ni boxer yakwangu gia 4 bm150
Huwezi kupata km 60 kwa lita. Haiwezekani daimaNdio ni boxer yakwangu gia 4 bm150
Sasa pikipik yangu naijua why ukatae mkuu.. Kuna sehem hadi kufka pale huwa ni km23 ila mim huweka mafuta ya buku mbili kwenda na kurudiHuwezi kupata km 60 kwa lita. Haiwezekani daima
Na hapo sijaibana sasa kweny curburator. Make niliweka mpya carburator nikisema niibanie kidogo mafuta asee ni full bata lita moja ni km za kutosha hata 70kmHuwezi kupata km 60 kwa lita. Haiwezekani daima
Yapo mambo ya kubishana lakini mengine si ya kubishana. Hakuna boxer inaweza kufika km60 kwa lita. Nimekuambia hata 45 tu bado itakua imekupendeleaSasa pikipik yangu naijua why ukatae mkuu.. Kuna sehem hadi kufka pale huwa ni km23 ila mim huweka mafuta ya buku mbili kwenda na kurudi
Yapo mambo ya kubishana lakini mengine si ya kubishana. Hakuna boxer inaweza kufika km60 kwa lita. Nimekuambia hata 45 tu bado itakua imekupendelea
Boxer wenyewe wanasema inakupa km 50( makadirio ya juu) japo haiwezi kufika 50 Ila sababu ya kibiashara wanaweka hizo 50
Wewe hizo 60 unazitoa wapi?
View attachment 3464882
Huyu mdau alifanya research ya hiyo boxer, akapata lita 1 kwa km 34.
View: https://youtu.be/s59YfLwIm5Y?si=vUT1JMr-Hgj3ohT4
Hakuna pikipiki inakupa lita 1 km 60. Zile type ya vespa ndio zinaweza kukupa hizo km
Gear 4 naziona dili sana izoNdio ni boxer yakwangu gia 4 bm150
Yapo mambo ya kubishana lakini mengine si ya kubishana. Hakuna boxer inaweza kufika km60 kwa lita. Nimekuambia hata 45 tu bado itakua imekupendelea
Boxer wenyewe wanasema inakupa km 50( makadirio ya juu) japo haiwezi kufika 50 Ila sababu ya kibiashara wanaweka hizo 50
Wewe hizo 60 unazitoa wapi?
View attachment 3464882
Huyu mdau alifanya research ya hiyo boxer, akapata lita 1 kwa km 34.
View: https://youtu.be/s59YfLwIm5Y?si=vUT1JMr-Hgj3ohT4
Hakuna pikipiki inakupa lita 1 km 60. Zile type ya vespa ndio zinaweza kukupa hizo km
Nipo kasulu kigomaNgoja tusibishane sana.. Upo wapi
Gia nne ndo mpango achana na hzi HD Hamnamo pikipkGear 4 naziona dili sana izo
Hakika ipo gudi sana.
Inanipa kilometer 135 kwa mafuta ya elfu 6,000.
Ukiachana na vipuri vyake adimu kuvipata ila hizi pikipiki zipo vizuri sana
Ukijali umwagaji wa oil na filter kubadili kwa muda mwafaka, kwa fundi matengenezo mengne utayasikia tu kwa wengine.
Hakuna pikipiki inakupa hizo kilomita. Hapo nimekupa info za kampuni yenyewe wanasema km 50, nazo hazifiki. Unataka kuniambia kampuni nayo inajidhulumu?Hyo jamaa carburator yake akaichek au plug yan 34km per lita duu
Mwisho wa mwez huu nakuja hko kwa ajir ya kilimo nakuja nayo mkuu. Na hapa nilipo had hapo kigom ni km380 ila natumiaga wese la 20000Nipo kasulu kigoma
Nipo kasulu kigoma
Upo sehemu gani?Mwisho wa mwez huu nakuja hko kwa ajir ya kilimo nakuja nayo mkuu. Na hapa nilipo had hapo kigom ni km380 ila natumiaga wese la 20000
Sihusiki na kampeniKweli kampeni zimeanza, meamba umefufuka?
Sihusiki na kampeni
Mwez ujao nipo huko mkuu nipe namba pm ntakuchek na utareta mrejesho hapaHakuna pikipiki inakupa hizo kilomita. Hapo nimekupa info za kampuni yenyewe wanasema km 50, nazo hazifiki. Unataka kuniambia kampuni nayo inajidhulumu?
Ninakueleza haya yote nikiwa na uzoefu mkubwa, Kuna mwaka nilinunua hizi nikampa dogo asimamie vijana walete hesabu
malalamiko ya HD ifike muda mo na timu yao waangalie busara ya kufanya, ni kama utapeli sasaGia nne ndo mpango achana na hzi HD Hamnamo pikipk
Powa nakutumia namba, we upo wapi? Uje mapema maana wiki ijayo nitaenda nyakanaziMwez ujao nipo huko mkuu nipe namba pm ntakuchek na utareta mrejesho hapa