ajent45
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 159
- 162
Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe
Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili ukipita unakuta wanafanya vitu vya ajabu sana aisee inachukiza mno
Hivi hawa huwa wanalipwa?, wanakodiwa? au kuna maslahi yeyote wanayapata wakifanya hivi. Ebu tazama hiyo video uone hivi vituko.