Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
hahaa wazaramo wa vingunguti, temeke, chanika you name it. sherehe ghalama kubwa ni coasta mengineyo bure. no wonder wanaoa leokesho wanaachana keshokutwa anachukua jiko lingine jipya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sherehe ilikuwa ndani ya basi? Je, wewe ulipewa lift au ulilipia nauli humo?Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe
Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili ukipita unakuta wanafanya vitu vya ajabu sana aisee inachukiza mno
Hivi hawa huwa wanalipwa?, wanakodiwa? au kuna maslahi yeyote wanayapata wakifanya hivi. Ebu tazama hiyo video uone hivi vituko.
unacheza mpaka watu wanakosa imani wanaaza kukurukia hii hatariPombe sio issue
Issue ni kukosa aibu na kimbele fronti
Mtu si ukae kwny kiti unywe taratiibu usiku uende vizuri
Ama kama hunywi uwe tu na utulivu in general
Mtu kila mziki mbio kucheza
Na cheza yenyewe sasaa nkikiii?..
Na hao wavulana na hasa mwenye mwanya, unaona wako sawa? hata wewe ulikuwepo na ukachukua hatua ya kupiga video!! ulipo sawa? sasa hapo kwenye gari ulipita au nawe ni sehemu yao? Mlikodishwa?Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe
Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili ukipita unakuta wanafanya vitu vya ajabu sana aisee inachukiza mno
Hivi hawa huwa wanalipwa?, wanakodiwa? au kuna maslahi yeyote wanayapata wakifanya hivi. Ebu tazama hiyo video uone hivi vituko.
Ukilewa ngomani huwezi kuwa mtulivu, hakuna mlevi mstaarabu.Pombe sio issue
Issue ni kukosa aibu na kimbele fronti
Mtu si ukae kwny kiti unywe taratiibu usiku uende vizuri
Ama kama hunywi uwe tu na utulivu in general
Mtu kila mziki mbio kucheza
Na cheza yenyewe sasaa nkikiii?..
Si kweliUkilewa ngomani huwezi kuwa mtulivu, hakuna mlevi mstaarabu.
Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe
Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili ukipita unakuta wanafanya vitu vya ajabu sana aisee inachukiza mno
Hivi hawa huwa wanalipwa?, wanakodiwa? au kuna maslahi yeyote wanayapata wakifanya hivi. Ebu tazama hiyo video uone hivi vituko.
HahahaSherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe
Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili ukipita unakuta wanafanya vitu vya ajabu sana aisee inachukiza mno
Hivi hawa huwa wanalipwa?, wanakodiwa? au kuna maslahi yeyote wanayapata wakifanya hivi. Ebu tazama hiyo video uone hivi vituko.
HahahaTatizo hiyo ni ya kiswazi,ukiona zile za wastaarabu wenye chura utafikiri wameshushwa toka mbunguni....suruali zinaweza kutoboka