Hakika tabia za baadhi ya wanawake kwenye sherehe huchukiza sana

hahaa wazaramo wa vingunguti, temeke, chanika you name it. sherehe ghalama kubwa ni coasta mengineyo bure. no wonder wanaoa leokesho wanaachana keshokutwa anachukua jiko lingine jipya.
 
hahaa wazaramo wa vingunguti, temeke, chanika you name it. sherehe ghalama kubwa ni coasta mengineyo bure. no wonder wanaoa leokesho wanaachana keshokutwa anachukua jiko lingine jipya.
kazi kweli kweli aisee
 
Hiyo sherehe ilikuwa ndani ya basi? Je, wewe ulipewa lift au ulilipia nauli humo?
 
Pombe sio issue
Issue ni kukosa aibu na kimbele fronti
Mtu si ukae kwny kiti unywe taratiibu usiku uende vizuri
Ama kama hunywi uwe tu na utulivu in general

Mtu kila mziki mbio kucheza
Na cheza yenyewe sasaa nkikiii?..
unacheza mpaka watu wanakosa imani wanaaza kukurukia hii hatari
 
Hiyo sherehe ilikuwa ndani ya basi? Je, wewe ulipewa lift au ulilipia nauli humo?
Hapo ni ndani ya usafiri tu mambo ya ajabu yaliendelea ndani ya sherehe hata baada ya kushuka
 
Na hao wavulana na hasa mwenye mwanya, unaona wako sawa? hata wewe ulikuwepo na ukachukua hatua ya kupiga video!! ulipo sawa? sasa hapo kwenye gari ulipita au nawe ni sehemu yao? Mlikodishwa?
 
Pombe sio issue
Issue ni kukosa aibu na kimbele fronti
Mtu si ukae kwny kiti unywe taratiibu usiku uende vizuri
Ama kama hunywi uwe tu na utulivu in general
Mtu kila mziki mbio kucheza
Na cheza yenyewe sasaa nkikiii?..
Ukilewa ngomani huwezi kuwa mtulivu, hakuna mlevi mstaarabu.
 
Mb 15 angalia mwenyew
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…