MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kuishi kwingi ni kuona mengi
Watoto na vijana wanaambiwa, nyinyi mna mbio, lakini sisi wazee twazijua njia
Ni hivi mjukuu wangu, upatapo chochote kitu, mega sehemu ndogo jipe raha, kama wewe ni mzee wa pombe, jimiminie balimi zako baridi kabisa upate na mdudu laaana kidogo ukapumzike na mpenzi wako, ufaidi mema ya nchi.
Hakika, shida zinakuja zenyewe, bila kufanya hivyo, utagongewa hodi asubuhi kuna mchango wa msiba, utapigiwa simu kijijini kuna mtu anataka hela ya matibabu, ukijifanya mjuaji wa kupima pima vitu mwilini, utaambiwa center bolt imekatika unaenda kulazwa MOI unatundikwa mawe.
Tafuta hela, tumia kidogo, invest kidogo, kula ka- dancee mwanagu, baba yako ndiyo nakupa ushauri hivyo, achana na wanawake, njia za wanawake ni ngumu na zenye majuto
Sitoi ushauri mara mbili. Nimemaliza