Hakika Tanzania ni Tajiri hadi maji yanawaka

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji.

Hata hawataki tujue maji yanawaka
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo ni wapi? Ingawa mimi si mtaalamu wa nishati, hapo panaweza kuwa na gesi asilia...
 
Maji yanawaka,

Angle uliyochukulia picha ndo mtihani,

Illa chunga wasikudake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…