Hakika tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe waliochezewa na wanaume wenzetu.

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya.

Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo.

A) WANAUME AMBAO HAMJAOA

Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa kumtamani unajua kabisa hukumpenda na hauna malengo naye bali umeamua kumchezea na kunyandua kwa style unazozitaka wewe na baadae uachane nae, umeamua kujiigizia kwamba unampenda ili lengo lako la kumuharibia maishalitimie huku ukijisahaulisha kwamba hata huyo utakayekuja kumuoa amechezewa na kuumizwa vile vile na mwanaume mwezako kama ulivyo mchezea huyo binti wa watu.

Wanaume kumbukeni ma/binti unayemchezea leo. Pia huyo mkeo mtarajiwa utakae kuja kumuoa na kumlipia mahari naye ni hivyo hivyo anachezewa huko alipo kwa stye tena mbaya zaidi ya unazo tumia kumchezea nazo huyo mpenzi wako uliye naye.. tena mbaya zaidi huyo mkeo huko alipo ananyonyeshwa na kukojolewa kila mahali, analambishwa uchafu wa aina zote na kumezeshwa na tena kwa vijana wa hovyo watamuita mkeo mtarajiwa danga, malayer, kahaba, mrahisi na majina mengi ya hivyo. Mbaya zaidi atatangazwa ananuka chini

B) WANAWAKE AMBAO HAMJAOLEWA

Enyi viumbe waerevu sana mnaojificha kwenye visingizio vya udhaifu na kutokujua jambo ili muwachezee wanaume wenzetu hivyo hivyo na wewe utakuja kuolewa na mwanaume aliyechezewa na mwanamke mwezako, vile vibaya unavyo tumia kumuumiza kijana wa watu ndivyo hivyo hivyo na mumeo mtarajiwa anaumizwa huko nje, ana chunwa hela na kupelekeshwa kama wewe unavyomfanyia huyo kijana uliyenae kwenye mahusiano.

Mumeo mtarajiwa hata huko aliko anaitwa kibamia, kimoja chali, mwanaume suruali, zezeta, anaitwa umbwa kama unavyomuita huyo uliyenae sasa na kufanyiwa kila hiana unayemfanyia huyo ambae upo nae hapo

C) WAZAZI

i) Wababa

zamani ilikua mtoto wa mwenzako ni mtoto wako ila kwa sasa imekua mtoto wa mwenzako siyo mtoto wako ndiyo maana utakuta wababa watu wazima tena wanaokaribia kufa wakiwachezea mabinti wa wazee wenzao kimapenzi pasi hata na kufikiria huyu hana tofauti na binti yangu kule nyumbani. Ana mchezea binti mdogo kwa kisingizio cha haja mzaa na hii ipo sana kwa wababa na hawa watoto wa buku 2, utakuta baba mtu mzima anaangaika na kuangaishwa kimapenzi na binti yake kabisa wakuto mzaa huku akihonga pension yake yote ili tuu basi na yeye awe amekula binti mbichi sana. Kumbukeni enyi wa baba hata mabinti zenu ni hivyo hivyo wanachezewa na wababa wenzenu mbaya zaidi utakuta tena mzee mwezako unayemuheshimu ndiye anayekulia binti yako

ii) Wamama

Nanyi wa mama mkae mkijua kabisa hivyo vibentene / vijana wadogo wa kiume watoto wenu kabisa wanaoogopa ugumu wa maisha na ninyi mkaamua kuwachezea huku mkiwanyonyesha na kuwalambisha nyapu iliyozeeka kwa kisingizio cha kuwaweka mjini hivyo hivyo na kijana wako yule unayempenda ndivyo anavyochezewa na kupigishwa deki nyapu iliyozeeka , yenye mvi huku akinyonya na kuingiza ulimi kwenye Nyash ya mbibi mwezako kwa ahadi za kupewa hela za kujikimu huko alipo iwe shule au chuo au kimaisha.

Siku zote kumbukeni unachomtendea mwezako ndicho hicho hicho Mungu atakachokupa , unachomfanyia mtoto wa mwezako ndicho hicho hicho mtoto wako anachofanyiwa.

Vijana na mabinti hakika ni kweli tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe na kuolewa na waliochezewa na wenzetu haijalishi mwanaume utapata mwanamke bikra ila nikitendo cha muda tuu na yeye atachezewa bila wewe kujua
 
Ni mwendo wa kuchezeana tu ila kiuhalisia hali ni tete sana wapo wanao chezewa Barabara za Vumbi sijui itakuwaje mm sihitaji ndoa Kwa Sasa nitaishi kisela mwanzo mwisho KATAA NDOA
 
Hapo umechagua kula bata ila watoto wako waliwe kisela na wahuni
 
Unakua na huruma na wakati uliopita au wakati ujao , dunia ni matukio na vurugu na ndani ya hayo kuna kupoteza au kupata , kila kitu ni experience unapata wala sio kitu cha ajabu
 
Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya.

Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo.

A) WANAUME AMBAO HAMJAOA

Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa kumtamani unajua kabisa hukumpenda na hauna malengo naye bali umeamua kumchezea na kunyandua kwa style unazozitaka wewe na baadae uachane nae, umeamua kujiigizia kwamba unampenda ili lengo lako la kumuharibia maishalitimie huku ukijisahaulisha kwamba hata huyo utakayekuja kumuoa amechezewa na kuumizwa vile vile na mwanaume mwezako kama ulivyo mchezea huyo binti wa watu.

Wanaume kumbukeni ma/binti unayemchezea leo. Pia huyo mkeo mtarajiwa utakae kuja kumuoa na kumlipia mahari naye ni hivyo hivyo anachezewa huko alipo kwa stye tena mbaya zaidi ya unazo tumia kumchezea nazo huyo mpenzi wako uliye naye.. tena mbaya zaidi huyo mkeo huko alipo ananyonyeshwa na kukojolewa kila mahali, analambishwa uchafu wa aina zote na kumezeshwa na tena kwa vijana wa hovyo watamuita mkeo mtarajiwa danga, malayer, kahaba, mrahisi na majina mengi ya hivyo. Mbaya zaidi atatangazwa ananuka chini

B) WANAWAKE AMBAO HAMJAOLEWA

Enyi viumbe waerevu sana mnaojificha kwenye visingizio vya udhaifu na kutokujua jambo ili muwachezee wanaume wenzetu hivyo hivyo na wewe utakuja kuolewa na mwanaume aliyechezewa na mwanamke mwezako, vile vibaya unavyo tumia kumuumiza kijana wa watu ndivyo hivyo hivyo na mumeo mtarajiwa anaumizwa huko nje, ana chunwa hela na kupelekeshwa kama wewe unavyomfanyia huyo kijana uliyenae kwenye mahusiano.

Mumeo mtarajiwa hata huko aliko anaitwa kibamia, kimoja chali, mwanaume suruali, zezeta, anaitwa umbwa kama unavyomuita huyo uliyenae sasa na kufanyiwa kila hiana unayemfanyia huyo ambae upo nae hapo

C) WAZAZI

i) Wababa

zamani ilikua mtoto wa mwenzako ni mtoto wako ila kwa sasa imekua mtoto wa mwenzako siyo mtoto wako ndiyo maana utakuta wababa watu wazima tena wanaokaribia kufa wakiwachezea mabinti wa wazee wenzao kimapenzi pasi hata na kufikiria huyu hana tofauti na binti yangu kule nyumbani. Ana mchezea binti mdogo kwa kisingizio cha haja mzaa na hii ipo sana kwa wababa na hawa watoto wa buku 2, utakuta baba mtu mzima anaangaika na kuangaishwa kimapenzi na binti yake kabisa wakuto mzaa huku akihonga pension yake yote ili tuu basi na yeye awe amekula binti mbichi sana. Kumbukeni enyi wa baba hata mabinti zenu ni hivyo hivyo wanachezewa na wababa wenzenu mbaya zaidi utakuta tena mzee mwezako unayemuheshimu ndiye anayekulia binti yako

ii) Wamama

Nanyi wa mama mkae mkijua kabisa hivyo vibentene / vijana wadogo wa kiume watoto wenu kabisa wanaoogopa ugumu wa maisha na ninyi mkaamua kuwachezea huku mkiwanyonyesha na kuwalambisha nyapu iliyozeeka kwa kisingizio cha kuwaweka mjini hivyo hivyo na kijana wako yule unayempenda ndivyo anavyochezewa na kupigishwa deki nyapu iliyozeeka , yenye mvi huku akinyonya na kuingiza ulimi kwenye Nyash ya mbibi mwezako kwa ahadi za kupewa hela za kujikimu huko alipo iwe shule au chuo au kimaisha.

Siku zote kumbukeni unachomtendea mwezako ndicho hicho hicho Mungu atakachokupa , unachomfanyia mtoto wa mwezako ndicho hicho hicho mtoto wako anachofanyiwa.

Vijana na mabinti hakika ni kweli tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe na kuolewa na waliochezewa na wenzetu haijalishi mwanaume utapata mwanamke bikra ila nikitendo cha muda tuu na yeye atachezewa bila wewe kujua
Kwa hiyo unatoa ushauri gani wa njia za kuzuia mambo hayo yasitendeke?
 
Back
Top Bottom