Hakika Uhuru Kenyatta ana tofauti Kubwa na Wengine EA

Hakika Uhuru Kenyatta ana tofauti Kubwa na Wengine EA

Kweli uhuru yuko kisela zaidi
Hivi uhuru anatoaga kauli za vitisho kwenye mikutano yake?

Ova
 
Achana nao hao makomongo hawana hati miliki ya Tanzania tutaendelea kutumia haki yetu ya kikatiba kumshinikiza huyo mwendawazimu wa Ikulu na Serikali yake dhalimu mpaka kieleweke.
Unatwanga maji kwenye kinu
 
Ni naelewa maana yake, ndio nakuuliza kwa "ukaribu" gani baina ya rais na wananchi una tija? Wakukaa vijiweni mkinywa madafu ama wa utoaji huduma?
Jiwe mkitaka kukaa na yeye vijiweni msubiri hadi 2025, hata bangi ya jombe mtavuta pamoja..Fursa iliopo sasa ni ya kufanya kazi
Kwani hapo Kenyatta kaenda kijiweni ama Ofisini kwa mtu aliye chini yake kimadaraka?
 
Ahaaa haaa haaa
Wewe huijui Kenya, those tycoons are trying to buy Kenya by blackmailing their fellow country men.
There is one incident Uhuru was shot by a real tough question. It was about the massive wealth that he possesses at that age. Raila intervened by saying, "Uhuru finds himself in that situation. He couldn't do anything regarding the situation. He is just a fortune fellow".
So Raila is sure that if he play good with Uhuru his business and wealth at large will be safe.
Kwani jibu la Odinga halikuwa la kweli? Uhuru kajikuta amezaliwa ndani ya wealth mlitaka afanyeje? Agawie masikini alichokuta kama mrithi?
 
Duniani kuna maajabu. Watanzania tumebarikiwa kupata Rais tulienae na Wakenya wanalijua hili lakini nashangaa watanzania hawatambui hili. Kweli nabii hakubaliki kwao
Nabii? Hajali maslahi ya watumishi, wafanyabiashara wanafilisiwa kibabe na vijana wanamaliza elimu ya juu hana mpango nao bado unamuita nabii? Labda nabii wa yule muovu lakini haiwezekani akawa nabii wa Mungu.
Hivi macho mnayo kwa nini hamuoni? huyo ni baba wa uharibifu haijapata kutokea
 
Hoja ni kwamba kuna utofauti kati ya Uhuru Kenyatta kwenye kuchangamana na kuchanganyika na wananchi wake tofauti na viongozi wengine wa ukanda huu wa Afrika ya mashariki.
Magufuli mbona anachangamana sana tu
 
Nabii? Hajali maslahi ya watumishi, wafanyabiashara wanafilisiwa kibabe na vijana wanamaliza elimu ya juu hana mpango nao bado unamuita nabii? Labda nabii wa yule muovu lakini haiwezekani akawa nabii wa Mungu.
Hivi macho mnayo kwa nini hamuoni? huyo ni baba wa uharibifu haijapata kutokea
Kamanda unachekesha sana
 
"Nchi ya democrasia Ile uwezi linganisha na nchi ya kidicteta"

Wewe utalinganisha mtu wa democrasia na mtu mtu dicteta jinsi wanavyokaa na kuonekana never"

Niliishi na wakikuyu sana Nairobi ni watu wakarimu sana wanaipenda nchi yao sio kwamba wana ukabila kama tunavyoaminishwa na watu wengine makabila mabaya kenya ni yale madogo madogo yanajihisi yanatengwa katika utawala wa kenya kitu ambacho sio kweli leo hii kenya maendeleo yapo mikoa yote.

Sio kama kipindi cha Moi alivyokuwa anawabagua wakikuyu na makabila mengine ndio maana unaona sasa hivi Ruto itakuwa ngumu kwake kwenda Ikulu 2022 kwa sababu ya historia yake kwenye kuwasababisha wakikuyu wengi kauawa mwaka 2007.

Uhuru ni presidential material watamkumbuka sana wakenya siku akiondoka sioni kabisa wa kuja kuziba pengo lake exactly 100%.
Asante ila Uhuru ni wa pili. Wakenya wengi wanaamini Kibaki ndio best president, hata mimi naamini hivyo, Uhuru ni wa pili. ni mjamaa mpoa ukiondoa matatizo madogo madogo.
 
Back
Top Bottom