Hakika Uhuru Kenyatta ana tofauti Kubwa na Wengine EA

Kweli uhuru yuko kisela zaidi
Hivi uhuru anatoaga kauli za vitisho kwenye mikutano yake?

Ova
 
Achana nao hao makomongo hawana hati miliki ya Tanzania tutaendelea kutumia haki yetu ya kikatiba kumshinikiza huyo mwendawazimu wa Ikulu na Serikali yake dhalimu mpaka kieleweke.
Unatwanga maji kwenye kinu
 
Kwani hapo Kenyatta kaenda kijiweni ama Ofisini kwa mtu aliye chini yake kimadaraka?
 
Kwani jibu la Odinga halikuwa la kweli? Uhuru kajikuta amezaliwa ndani ya wealth mlitaka afanyeje? Agawie masikini alichokuta kama mrithi?
 
Duniani kuna maajabu. Watanzania tumebarikiwa kupata Rais tulienae na Wakenya wanalijua hili lakini nashangaa watanzania hawatambui hili. Kweli nabii hakubaliki kwao
Nabii? Hajali maslahi ya watumishi, wafanyabiashara wanafilisiwa kibabe na vijana wanamaliza elimu ya juu hana mpango nao bado unamuita nabii? Labda nabii wa yule muovu lakini haiwezekani akawa nabii wa Mungu.
Hivi macho mnayo kwa nini hamuoni? huyo ni baba wa uharibifu haijapata kutokea
 
Hoja ni kwamba kuna utofauti kati ya Uhuru Kenyatta kwenye kuchangamana na kuchanganyika na wananchi wake tofauti na viongozi wengine wa ukanda huu wa Afrika ya mashariki.
Magufuli mbona anachangamana sana tu
 
Kamanda unachekesha sana
 
Asante ila Uhuru ni wa pili. Wakenya wengi wanaamini Kibaki ndio best president, hata mimi naamini hivyo, Uhuru ni wa pili. ni mjamaa mpoa ukiondoa matatizo madogo madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…