yani waTanganyika tusipokuwa makini kwa hili tutashtukia wajomba wamejaa nchini na kutuharibia nchi yetu nzuri iliyobarikiwa kwa kutuletea mambo yao ya hovyo😞
Yaani leo muungano uvunjike kwa kupewa sehemu ya bandari wa Dubai , hivyo mlivyouwa watu kwa maelfu Zanzibar na kuchukuwa kila kitu kuanzia kiti kule UN, Bandari, Benki, Jeshi , Polisi Uhamiaji, , Vyama, Airport nk hamkuumia ,
Hakuna kumshtakia mungu hili suala tuna uwezo wa kulimudu tatzo sisi wengi ni keyboard warrioe tu
tulikua na uwezo wa kuandamana kwa nguvu mpaka magogoni