marafiki wawili walitoka kwenda kuwinda
wakiwa msituni bahati mbaya rafiki mmoja alipata ajali akawa hajitambui
kwa woga mmkubwa rafiki yake alichukua simu yake na kupiga 112 (emergency call)
rafiki: halow naomba msaada!
operator: msaada upi?
rafiki: rafiki yangu amekufa..
operator: usipanic ninaweza kukusaidia,kwanza hakikisha kama amekufa
ukimya kama dakika moja kisha sauti ya mlio wa bunduki ukasikika paaaaaa!
kisha sauti ya rafiki ikasikika upande wa pili
haya tayari sasa nifanyeje?