Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
 
Us wako kwenye mchakato huo, once mtoto akishazaliwa , baba hato sign until certificate vipimo vingine vya kudhibitisha mtoto kama ni wake vitakapo kamilika.
Feminist wanaipiga vita sana but hii itaenda kupunguza wanaume kupigwa matukio
 
Nzuri Sana.
 
Back
Top Bottom