Hakikisha kabla hujafikisha 40 unawala mademu wafuatao

Hakikisha kabla hujafikisha 40 unawala mademu wafuatao

Mi nna 43 na hayo mambo sikufanya unanishaurije?!
 
Ujinga.. najutia kusoma huu uzi

Nilidhani utasema before 40 uwe na utajiri around 500Mil unanona some where
 
Ujinga.. najutia kusoma huu uzi

Nilidhani utasema before 40 uwe na utajiri around 500Mil unanona some where
ushaanza kuzeeeka,Umri ushakutupa mkono MADA za vijana saivi huwezi zielewa
 
Muda ukifika u wa kutulia na mkeo naww umepata kisukar unashindw game vijana wanakusaidia, unapata presha unakufa unaacha watoto wako wanapata tabu.

Kijana safi hasifiwi kwa wingi wa wanawake aliokua nao, anasifiwa na kuwa mwaminifu na alienae
Hivi kumbe ukiwa na mademu wengi unapata kisukari?😳😳😳
 
Mamama.e
Angalia usilambwe na ww
Haiwezi tokea maana jinsi nilivyo hata wewe ungenifuma na mkeo ungeomba samahani na kutoka nduki maana unaweza chezea vitasa mbele ya mkeo na nikakusachi kama unapesa nachukua
ronnie_coleman_feature.jpeg
 
Back
Top Bottom